Zitto Kabwe: Kabla ya kuja wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru

Zitto Kabwe: Kabla ya kuja wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru

Ona kama sasa hivi Moshi ni jiji kwa watindiga wengine ni vijiji
Tufukue mafail? Wizi ni mbaya sana na wezi huwa hawajitapitapi kipumbavu... acha na tulia tuli... Kuna watu wanatafuta kihalali na wengine ni majambazi tu...
 
Tungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..

Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga

Hao watu wa pwani na Dodoma ndo wameacha ardhi muitumie...mtajirike

Mngekuwa wachaga watupu mngepeana ardhi kama wazaramo na watoto wanavyoachia ardhi zao Kwa wageni?
 
Tungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..

Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga
Hapo kwenye BOLD jibu lake kwa wa-TZ wengi tunajua ingekuwa ni Ukabila kuliko Rwanda, wizi na udokozi kuliko Sicily ya mafia na kusingekuwa na mategemeo ya kupata miss Chaga wa kupeleka mashindano ya dunia maana kule lazima uvae bikini siyo zile ndefu za kufunika miguu.
 
Ishu sio kupenda au kutopenda ukweli,Ishu hapa ni kuwa Huko Uchagani si kwamba wameendelea kwa juhudi zao bali ni kutokana na Wakoloni waliowahi kufika huko wakawapa Elimu mapema ikawasaidia kufika walipofika sasa hicho kisiwe kigezo cha kujiona wao ni bora sana kuliko wengine.Wachaga waache ushamba.
Asante kwa kukiri hadharani umuhimu wa ukoloni.
 
Tungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..

Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga
Ila aisee Moshi mjini pamechoka sana. Yaani Morogoro tu pako juu kwa ku-shine.
 
Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.

Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru

Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Mbona hii hoja Haina mashiko,kabla ya kuja wakoloni KILA Kanika ilikuwa ni nchi chini ya utawala wa machifu.
 
Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.

Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru

Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Zitto Kabwe kiumri ni mdogo mnoo. Hivyo akishashiba chikichi huwa ana akili za ajabu sana. I mean huwa anafanya research.

Kama kulikuwepo na himaya ya Timbuktu, Misri, Sheba, Mali, Zulu na kadhalika, kwa nini basi pasiwepo na hiyo nchi ya Kigoma na Mafia?

Kuna ushahidi mwingi kuhusu Mafia na hasa ugunduzi wa ule mji uliozama majini miaka zaidi ya 2000 iliyopita ambao upo kwenye shores za Mafia...

Tuendeleze tafiti lakini tusisahau kula chikichi
 
Back
Top Bottom