Binafsi mh zitto nilikua namkubali Sana, wenda Kuna vitu mpaka Sasa navikubali but percent imepungua ,
Mh zitto ni kweli kisiasa mpaka mda huu au uliopita alijijenga kisiasa akitokea Chadema chini ya mlezi wake mh Mbowe, na amejitahidi kidogo,
Ila hoja hapa asitake kujifanya anaijua tz in and out , ila aelewe wapo watu hasa wazee wanaijua vizuri tu japo wazee,
Zitto kusema ni mkongwe katika taifa Hili,kisiasa anafanya japo atakua mkongwe kwetu sie ambao hatukuwai may be kua wabunge,hivyo
KWA maono yangu
Tz ni nchi huru, yenye watu Kama m 6 haiwezekani mtu mgeni Kama kweli,aje achukue nafasi za juu wakati watanzania wapo, why
Kutengeneza ukachero wa nchi flani kwenye nchi yetu,wakati uwezo tunao ,nguvu kazi tunayo hasa sehem nyeti,mfano jeshini, tiss, ikulu,n.k hii yaweza kua ni haibu Sana
Lazima kililinda taifa letu KWA wivu mkubwa Sana so zitto awe mpole KWA Hili tz ina mamlaka imara wafuatilie Hili na KWA kweli ni muhimu Sana then Kama sio kweli basi ila Kama kweli ni lazima kuvulumishwa KWA faida pana ya taifa ,
Mwisho
Nina rafiki yangu huyu bwana alikuja na wazazi wake miaka iyo akiwa mtoto wa miaka Kama 2 na busu KWA history yake walifika kagera kutoka Rwanda, then wazazi wake alifaliki akabaki na bosi wa wazazi wake , leo amesoma ameajiriwa tz vipi akipata Urais huyu ni muhamiaji au ni raia kamili wa tz ??????
Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru
Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!