johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huu ni uchokozi.Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru
Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Acha ujinga wewe.Tungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..
Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga
Hahahaaaa......mimi naipenda ile ngoma yenu ya kushikana mikono!Tungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..
Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga
Hahahaaaa..... Mwache bwashee atiririke!Acha ujinga wewe.
Sasa huyu Edo Kumwembe na Chadema walitaka wana ccm wamchukie rais anayetokana na ccm?Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru
Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Anapindisha maneno tu. Awali karibu kila eneo lilikuwa lina aina fulani ya utawala, aina za kichifu yeye anataka kuita nchi ni sawa lakini nchi ina definition yake na sidhani kama hizo tawala za enzi hizo zilikidhi vigezo vya nchi.Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru
Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
huyo anaetaka kujichanganya nawalevi ninaniTungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..
Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga
Nadhani alitaka kuweka historia sawa!Zito buana
Sijui anataka kuwa rais wa kigoma🤔😎
Kama vp kigoma ipewe rasmi burundi tuache kuingangania na kuwaaengenya watu wa kigomaKuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru
Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Ona kama sasa hivi Moshi ni jiji kwa watindiga wengine ni vijijiTungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..
Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga
Mbona kama unateseka bwashee!Acha ujinga wewe.
Umeambiwa Kigoma ilikuwa ni nchi huru sasa mambo ya Burundi unayatoa wapi bwashee?!!Kama vp kigoma ipewe rasmi burundi tuache kuingangania na kuwaaengenya watu wa kigoma
Ova
Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru
Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Yaani unashindwa kuna kuwa matajiri wengi wenye uwezo mumetawanyika kwenye mikoa mbalimbali ndiko mnakotafita guess na mnatajirikia huko. Moshi mkoani huwa mnarudi moja kwa moja pale Mungu akimuita mja wake. Uchagani imebakia vihamba vyao kwenda kusitiriwa siku ya mwisho uhai ukiwatoka. Na mikoa mwingine ndipo matajiri wachaga wamejenga nyuma nzuri like wanakofanyia biashara . Hanna tofauti na wapemba waliotajirikia kariakoo na kujijenga pale lakini pemba hanna kitu. Think beyond your nose.Tungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..
Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga
Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru
Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa kuna mpya ya kushika viuno vya MatagaHahahaaaa......mimi naipenda ile ngoma yenu ya kushikana mikono!