Tufukue mafail? Wizi ni mbaya sana na wezi huwa hawajitapitapi kipumbavu... acha na tulia tuli... Kuna watu wanatafuta kihalali na wengine ni majambazi tu...Ona kama sasa hivi Moshi ni jiji kwa watindiga wengine ni vijiji
Tungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..
Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga
Hapo kwenye BOLD jibu lake kwa wa-TZ wengi tunajua ingekuwa ni Ukabila kuliko Rwanda, wizi na udokozi kuliko Sicily ya mafia na kusingekuwa na mategemeo ya kupata miss Chaga wa kupeleka mashindano ya dunia maana kule lazima uvae bikini siyo zile ndefu za kufunika miguu.Tungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..
Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga
Kigoma hii kulikojaa viroboto ambako hata wenyeji wakifanikiwa hawataki kuwa na maisha ya kudumu kigoma akiwemo Zitto KabweNadhani alitaka kuweka historia sawa!
Jibu unaloUmeambiwa Kigoma ilikuwa ni nchi huru sasa mambo ya Burundi unayatoa wapi bwashee?!!
Rwanda inazo rasilimali gani??--- tuanzie hapo kwanza.
Sina bwashee!Jibu unalo
Ova
Asante kwa kukiri hadharani umuhimu wa ukoloni.Ishu sio kupenda au kutopenda ukweli,Ishu hapa ni kuwa Huko Uchagani si kwamba wameendelea kwa juhudi zao bali ni kutokana na Wakoloni waliowahi kufika huko wakawapa Elimu mapema ikawasaidia kufika walipofika sasa hicho kisiwe kigezo cha kujiona wao ni bora sana kuliko wengine.Wachaga waache ushamba.
Ila aisee Moshi mjini pamechoka sana. Yaani Morogoro tu pako juu kwa ku-shine.Tungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..
Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga
Mbona hii hoja Haina mashiko,kabla ya kuja wakoloni KILA Kanika ilikuwa ni nchi chini ya utawala wa machifu.Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru
Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Haaa kumbe wajinga bado wapo?Tungekuwa mbali sana wachaga... Kutuchanganya na watu wa pwani dodoma ndiyo maana tz ipo nyuma..
Ebu assume Tanzania ingekuwa wachaga
Yaap!!!,Ukoloni ulikuwa na positive na negative impact.Asante kwa kukiri hadharani umuhimu wa ukoloni.
Zitto Kabwe kiumri ni mdogo mnoo. Hivyo akishashiba chikichi huwa ana akili za ajabu sana. I mean huwa anafanya research.Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi huru
Maadamu sasa tunaishi ndani ya mama Tanzania basi sisi sote ni watanzania yatupasa kushikamana
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!