Zitto Kabwe: Kama Ghana, Algeria wametoka AFCON sisi ni nani?

ZItto tangu anajisiwe na Kikwete enzi zile za usaliti, tulimpoteza mazima
 
Baba mwenye familia anawaambia watoto tulale njaa kwani hata majirani wanalala njaa!
 
"Hongera Taifa Stars, mmeonyesha ukuaji na uvumilivu. Ghana katoka, Algeria katoka. Sisi ni nani?" - Zitto Kabwe

#PlusXtraUpdates

Je sisi ni nani tupinge??View attachment 2885365

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huu ndo ujinga ambao hata Maandiko yanaukataa, Usipime ubora wa kazi yako kwa kuilinganisha na kazi ya Wengine. Kwahiyo hao wakiliwa kiboga nasi tuliwe?
 
Zitto ni mwehu...

Vipi kuhusu Guinea ya ikweta na Cape Verde?

So mkubwa akiwa mjinga, ujinga unakua halali kwa mdogo?
Nenda kafuatilie iyo Squad ya Equatorial Gine au Cap Verde ao wachezaji wamewatoa wapi. 70% Wana Toka Ulaya.
Sisi tumepanda haba na tume vuna haba.
Sisi ndio wa mwisho katika timu shiriki katika Rank za FIFA hatuna tunaye lingana wote wapo juu yetu
 
Nenda jafuatilie iyo Squad ya Equatorial Gine au Cap Verde ao wachezaji wamewatoa wapi. 70% Wana Toka Ulaya.
Sisi tumepanda haba na tume vuna haba.
Sisi ndio wa mwisho katika timu shiriki katika Rank za FIFA hatuna tunaye lingana wote wapo juu yetu
So inawezekana tulienda kibahati??

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nenda jafuatilie iyo Squad ya Equatorial Gine au Cap Verde ao wachezaji wamewatoa wapi. 70% Wana Toka Ulaya.
Sisi tumepanda haba na tume vuna haba.
Sisi ndio wa mwisho katika timu shiriki katika Rank za FIFA hatuna tunaye lingana wote wapo juu yetu
Hivi kati ya equatorial Guinea na Guinea ipi ipo vzr zaidi?
 
Kweli tusitegemee mabadiliko chini ya CCM, Chadema AcT, sababu viongozi wao ni special in failure, kushindwa kwa mwingine aimaanishi na sisi tushindwe, uyu ajitambui, kwamba sisi tunawategemea Algeria misri
 
Wewe ni mjinga kama huyo Zitto, unataka kusema sisi ni dependant wa izo timu kwamba zikishindwa ni sawa hata sisi tukishindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…