Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

Duuh
 
Ukweli ni muhimu lkn siasa hufanya ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli
 
Hujui kinachoongelewa wewe. I atokana na kwamba huna hoja na hutumiii ubongo kufikiri.

Ndege haina mwaka tayari Ni mbovu.

Kiufupi ndege zilikua mtumba tukadanganywa Ni mpya. Mavyuma chakavu yale, yamechoka!
 
Magufuli alimfanya nn Zitto?

Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
Sasa hivi hakuna anayejua ila Zitto mwenyewe kwa vile mtuhumiwa Magufuli hayupo; inawezekana Magufuli alimpa "mimba" ya aina fulani halafu akakwepa kumtunza katika muda wote wa mimba! Not sure!
 
Sasa hivi hakuna anayejua ila Zitto mwenyewe kwa vile mtuhumiwa Magufuli hayupo; inawezekana Magufuli alimpa "mimba" ya aina fulani halafu akakwepa kumtunza katika muda wote wa mimba! Not sure!
😄😂😁😆😅😆😁😄😅😆😁
 
Sasa hivi hakuna anayejua ila Zitto mwenyewe kwa vile mtuhumiwa Magufuli hayupo; inawezekana Magufuli alimpa "mimba" ya aina fulani halafu akakwepa kumtunza katika muda wote wa mimba! Not sure!
Hatari sana
 
Fact mkuu Ngozi nyeusi tumezongwa na chuki ubinafsi na ujinga ndio vinavyotufelisha Magufuli alikuwa ni mfano wa kuigwa lakini tulivyo wapumbavu na roho za kitumwa tunamwona magufuli kama adui to be honest Bado yuko gizani sana wa Afrika
 
Walamba asali watakuambia alokuwa ni shenani
 
Lazima tukosoe mpaka JPM narudi awajibike!
Tusipo mlaumu kila wakati, atakataa kurudi!
 
Hawa wanasiasa inabidi uwe fyatu kuwaelewa.
 
..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.

..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?

tumia akili wewe na zito wako, mwenyewe makufuli alipokuwepo hizo ndege zilikuwa zinafanya kazi hazilali wala kuharibika na angekuwepo yeye usingeona hata ndege moja imesimama au kuambiwa ina kutu, hata wewe ukinunua magari kumi mapya yakaanza kufanya kazi vizuri na kukuingizia pesa vizuri sana mara mungu amekuchukuwa mrithi anae rithi hizo magari akiwa hajitambui hizo magari yataanza kusimama moja baada ya nyingine,
 
tumia akili wewe na zito wako, mwenyewe makufuli alipokuwepo hizo ndege zilikuwa zinafanya kazi hazilali wala kuharibika na angekuwepo yeye usingeona hata ndege moja imesimama au kuambiwa ina kutu,

hata wewe ukinunua magari kumi mapya yakaanza kufanya kazi vizuri na kukuingizia pesa vizuri sana mara mungu amekuchukuwa mrithi anae rithi hizo magari akiwa hajitambui hizo magari yataanza kusimama moja baada ya nyingine,
Ndege zilikua zinaingiza Hasara ya Kufa mtu, its just Magufuli hakutaka zikaguliwe, kwanini akatae wakati zinaingiza Faida?

Juzi Cag alivyokagua ndio madudu yote yakatolewa.

Mkuu barafu aliweka nyuzi nyingi mno humu kuhusu Atcl yeye ni mtaalam wa mambo ya Anga humu ikiwemo sisi Kununua Ndege kachumbari na Hazitatuingizia Faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…