Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kamtukana wapi? Very simple ajibiwe kwa hoja, zipo au hazipo? Mbona tunapenda kupindisha hoja?Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Huu ugonjwa wa mtu anayedhaniwa walau ana elimu dunia kias kujitoa fahamu za nguvu ya hoja na kushughulika na mtoa hoja sijui litibiwe vipi maana limezidi na kuzalisha non critical thinking...usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.
..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Kama ndege sita zipo grounded, hilo haliwezi kuwa kosa la Magufuli, tatizo la Zitto amekariri kila siku kutupa lawama kwa mtu mmoja ambaye kwa sasa hayupo, na kumlinda yule aliyepo, akidhani wote hatuna akili.
Hizo ndege kama zimekosa matunzo, na sasa Magufuli amefariki karibia miaka miwili iliyopita, Zitto anatakiwa ajue wakuwalaumu ni hawa waliopo kwa matunzo mabovu ya hizo ndege, na sio yule aliyezinunua.
Anachofanya ni kama ujinga wa watoto kumlaumu baba yao kwa ubovu wa nyumba aliyowajengea baba yao aliyefariki, wakati wao ndio waangalizi wa nyumba hiyo, ujinga wake ni kutumia kigezo cha wingi wa ndege kama sababu ya hizo ndege sita kuwa grounded, hoja ya kijinga kabisa.
.. kwanini unamtukana?Hakuna hoja hapo zaidi ya njaa zake binafsi
Wanasemaje wanasemaje midege mingi lakini zinazofanya kazi chache.ATCL wenyewe wanasemaje?
Ndege 6 kuwa ground sio kosa la JOHN JOSEPH POMBE MAGUFURI naamin dhamira yake ilikuwa kutuletea ndege mpya.
Kosa hilo lielekezwe kwa DOLACCM Iliomuhakikishia kuwa ndege ni mpya kweli.
Je ni kweli kuna ndege 6 hazifanyi kazi?Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Wapambe wake washauri wake na mamluki walimzidi maarifa...Jpm alikuwa ndio dola serikali ccm.
Mzee wa migebuka umechokoza nyuki, ngoja walinz waje!!Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Magufuli na utawala wake.
Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.
Nasubiri kusikia kama serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.
Sasa ungeleta evidence kwamba haziko benchi wala hazina kutu ili uongo wa zito uonekane!!Shekhe Zitto anafahamu fika kabisa kwamba, ikiwa tu binadamu hufikwa na magonjwa! Je hayo machuma ambayo leo yapo miaka 6 yakitumika mafuta yasiharibike na kufanyiwa ukarabati?
Hoja ya kwamba ndege zipo benchi zikiwa na kutu huo ni uwongo wa kijinga!
JPM alikuwa na maono yapi?Kwaiyo kama zipo grounded ni Kosa la mbeba maono alozinunua au waendeshaji wa shirika wa Sasa au unataka JPM afufuke ili aliendeshe hilo shirika?
Hivi kama ukijenga nyumba warithi wako wakaamua kuigeuza ile nyumba danguro inabidi tukulaumu wewe kwa kujenga hiyo nyumba?
Zito Hana hoja ni shoga tu la kisiasa lenye njaa.
Asante mkuuKama ndege sita zipo grounded, hilo haliwezi kuwa kosa la Magufuli, tatizo la Zitto amekariri kila siku kutupa lawama kwa mtu mmoja ambaye kwa sasa hayupo, na kumlinda yule aliyepo, akidhani wote hatuna akili.
Hizo ndege kama zimekosa matunzo, na sasa Magufuli amefariki karibia miaka miwili iliyopita, Zitto anatakiwa ajue wakuwalaumu ni hawa waliopo kwa matunzo mabovu ya hizo ndege, na sio yule aliyezinunua.
Anachofanya ni kama ujinga wa watoto kumlaumu baba yao kwa ubovu wa nyumba aliyowajengea baba yao aliyefariki, wakati wao ndio waangalizi wa nyumba hiyo, ujinga wake ni kutumia kigezo cha wingi wa ndege kama sababu ya hizo ndege sita kuwa grounded, hoja ya kijinga kabisa.
Kwa mda zilizo ishi bila shaka NO.2 Mkuu1. Ziko grounded kwasababu ya kukosa matunzo.
2. Ziko grounded kwasababu zilinunuliwa zikiwa chini ya viwango.
3. Haziko grounded.
Sasa hapo tusi liko wapi?Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Huyo zito hiyno KAZI alopewa na CCM..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.
..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Hakuna kitu magu alichofaulu hata kimoja. Alishauriwa akajiona yeye ndio mwenye akili kuliko wote nchini. Kiko wapi sasa?Kwaiyo kama zipo grounded ni Kosa la mbeba maono alozinunua au waendeshaji wa shirika wa Sasa au unataka JPM afufuke ili aliendeshe hilo shirika?
Hivi kama ukijenga nyumba warithi wako wakaamua kuigeuza ile nyumba danguro inabidi tukulaumu wewe kwa kujenga hiyo nyumba?
Zito Hana hoja ni shoga tu la kisiasa lenye njaa.
Tusubiri maelezo ya kiufundi wanasiasa sio wa kuwaamini hata kidogo!Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Magufuli na utawala wake.
Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.
Nasubiri kusikia kama serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.