Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Il wewee jamaa ni kiazi,baada ya kushambulia alichokiandika kwa kuleta hoja ,unamshambulia mhusika.Tanzania tunasafari ndefu

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Ulitegemea ziwe grounded lini ? Kama service hamna unataka ziruke vip , hata kama ni mpya unajua service schedule yake , ndege sio Gari , hlo shirika wamedhamiria kuliua , na watu wanashangilia , ogopa sana kundi la wajinga
Usizungumzie hisia, zungumzia facts.

Ndege 6 zimekuwa grounded, ni fact.

Ndege hazifanyiwi service ni hisia.

Ndege ni mitumba ni possibility, kwa sababu si kawaida ndege mpya 6 kwa wakati mmoja ziharibike, na si jambo linaloingia akilini kuwa shirika limeshindwa kuzifanyia service ya kawaida ndege 6.

Inatakiwa itolewe taarifa kamili juu ya ukweli wa kila jambo kama ilivyokuwa kwenye mabehewa ya treni tuliyoambiwa ni mapya, baadaye ikagundulika ni mitumba. Rais na Waziri walikuwa waungwana katika kulikiri hilo, lakini kuna wapamve wajinga, waliojifanya ni watetezi wa Serikali, ni watetezi wa Rais Samia, walikuwa wakiropoka tena kwa nguvu kweli kuwa mavehewa ni mapya. Hana hata access ya kujua manunuzi yalivyofanyika, halafu anabakia na ubishi wa kijinga.

Kama huna uhakika, changia hoja, toa mawazo yako, lakini usiwe mbishi.
 
Zitto anapangilia sawia ukosoaji wake usiguse awamu iliyopo madarakani hata kwa hoja za kijinga.

Wizara si ipo? ATCL si wapo? Awaulize kwa nini ndege hazifanyi kazi ndiyo watasema nini shida!.

Hitimisho lake ni hisia tu na ndiye alituambia hizi ndege ni terrible teen.
 
JPM hahusiki na ndege kushika kutu, ni swala la uendeshaji, huenda mafisadi wapo kazini.
 
Imefikia hatua kuchangia mada za huyu dingi aliyefariki naona jau. Yaan mtu hata hayupo afu nikomae kuchangia naona upuuzi tu
 
Crap!

Poor contribution from a low mind.

Hoja ni je, tulidanganywa kuwa ndege ni mpya?

Maswali yako mengine yote yanaonesha uwezo wako mdogo wa kujenga na kujibu hoja.

Sijaona kwenye maelezo ya Zito, kuna mahali amemshambulia marehemu Magufuli. Kusema ndege ziluzonunuliwa na Magufuli, imetumika kama identity. Siku zote si zinatajwa ndege za Magufuli?

Lakini kama ni kweli ndege hizo ni mitumba, wananchi wana haki ya kumlaumu Magufuli kwa kuwadanganya kuwa ni ndege mpya. Alistahili kusema ukweli kuwa ndege zimetumika, na angefafanua kwa nini anadhani ni busara kununua hizo ndege zilizotumika.
 
Ulitegemea ziwe grounded lini ? Kama service hamna unataka ziruke vip , hata kama ni mpya unajua service schedule yake , ndege sio Gari , hlo shirika wamedhamiria kuliua , na watu wanashangilia , ogopa sana kundi la wajinga
Yani tuna wasomi wa kipumbavu sana sijui anajua Maintenance Schedule ipoje?
 
..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.

..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Zito ni muongo toka zamani haaminiki
 
Kwaiyo kama zipo grounded ni Kosa la mbeba maono alozinunua au waendeshaji wa shirika wa Sasa au unataka JPM afufuke ili aliendeshe hilo shirika?
Acha kumpaka mafuta dikteta muuaji yule. Ndege hizi tangu anunue ni 6 tu ndiyo zimekuwa zikifanya kazi.

Madege mengine yamegeuka kuwa mazalia ya popo tu. Kasome ripoti ya CAG ya 2019/2020 ambapo jini alikuwa madarakani
 
Unamwambia mwenzio azungumze facts, ikiwa hata wewe hujui kama hizo ndege unazotetea kuwa grounded ni mpya au mitumba?

Na ni nani aliyekwambia hizo ndege sita zote ziliharibika kwa pamoja? na kwanini huamini kama hizo ndege zilikuwa mpya, una ushahidi wowote kuthibitisha hilo?

Kwa haya maelezo yako, hauna tofauti yoyote na Zitto, nawe unakwepesha lawama kwa serikali ya sasa, ilimradi uiseme vibaya awamu iliyopita, tena kwa sababu za kihisia tu.
 
Biashara ya ndege ni ngumu sana kwa kweli halikuwa sahihi
Angelifanikiwa tu kama tungeingia ubia na shirika lingine kama Kenya walivyo na Air France, KLM na serikali pamoja na watu binafsi

Sisi tunajifungia sana ndani yanayoendelea duniani hatujui na hawa wakosoaji wanajua kuita press na kukosoa na kubeza badala ya kuisaidia serikali na kutoa mawazo mema

Wanafikiri kuiponda serikali bila kutoa mawazo wanajiona wajanja zaidi ili washangiliwe
Tunataka nini kifanyike kuliko kuponda tu
 
Cha ajabu utakuta akitoka hapo apanda hizo ndege ila awahi Dar ili uchukue posho za wanaokuuma
Anapanda kwakuwa hakuna mbadala, lakini haiondoi ukweli kuwe hizo ndege ni mbovu. Jitahidi kutengenisha mambo hayo.
 
Ulitegemea ziwe grounded lini ? Kama service hamna unataka ziruke vip , hata kama ni mpya unajua service schedule yake , ndege sio Gari , hlo shirika wamedhamiria kuliua , na watu wanashangilia , ogopa sana kundi la wajinga

Zilianza kuwa grounded toka dhalimu akiwa hai.
 
Ulitegemea ziwe grounded lini ? Kama service hamna unataka ziruke vip , hata kama ni mpya unajua service schedule yake , ndege sio Gari , hlo shirika wamedhamiria kuliua , na watu wanashangilia , ogopa sana kundi la wajinga
Kina nani wamedhamiria kuliua? Kwani walipokuwa wananunua ndege hawakuweka business plan ili haya yasitokee?
 

Wakati mnashangilia manunuzi yale ya kihuni si mlikuwa mnataka kuonekana wajanja? Kelele zilipigwa kuwa dhalimu anachofanya sio sawa, mkawa mnaenda uwanja wa ndege kupokea mitumba mkisaka sifa za kisiasa na kuchafua wapinzani kubwa hawataki maendeleo. Mmechukua hela za wakulima wa korosho bila kufuata utaratibu, saa hii mnataka mpewe ushauri.
 
kinachozungumziwa ni serikali yake yeye akiwa kiongozi mkuu.
Sasa mkuu hapo inatusaidia nn, maana hata hiyo serikali yake kwa sasa nayo haipo, ipo nyingine hivi hadi leo wajerumani wanazungumzia serikali ya hittler zaidi ya kumuacha vitabuni tu...
 
1. Ziko grounded kwasababu ya kukosa matunzo.

2. Ziko grounded kwasababu zilinunuliwa zikiwa chini ya viwango.

3. Haziko grounded.
Mkuu kwa maoni yangu ni kwamba ndege ziko grounded kwa sababu ya kukosa matunzo kwa sababu hakukuwa na business plan kabla ya kuzinunua. Ilitakiwa shirika lifumuliwe kabisa na lisukwe upya chini ya management nzuri na business plan ndiyo ndege zinunuliwe. Hili jambo la ufanisi wa shirika au kampuni kutegemea ni nani aliyeko madarakani linaonyesha ubovu wa mfumo wetu. Wanasema ndege zilikuwa mitumba nadhani siyo sahihi kwa sababu ndege siyo gari, ili uweze kudanganya kwenye manunuzi. Kwa mfano zile airbus ni toleo jipya kabisa na sisi tulikuwa miongozi mwa nchi za kwanza kuzinunua.
 
Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Hayati Magufuli na utawala wake.

Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Hayati Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.

Nasubiri kusikia kama Serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.

Kama zina kutu mbona sa mia kanunua mabehewa ya treni ya mitumba na zito asemi kitu tena kanunua kinyume na sheria za nchi kuhusu serikali kununua vitu used ...pia kwanini asinge mlaumu Samia kwa hizo ndehe kupata kutu na kuto kuruka wakati wa jpm zote zilikuwa zinafanya kazi au ana dhani watanzania ni wapumbavu wenzake..... blodi shiti .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…