Zitto Kabwe: Kila Novemba kunakuwa na mgao wa Umeme ila tulikuwa hatutangaziwi kwa sababu za kibabe tu

Kwahio tulikuwa hatuoni mpaka tuambiwe...

Ofcourse sisemi kwamba Umeme ulikuwa haukatiki wakati wa mwendazake ila nadhani hizi siku kadhaa hali sio Shwari..., Pili huenda ikawa ni Bahati kipindi kile ukame haukuwa kama sasa ila hii ni too soon ningetegemea hali hii itokee miezi ya huko mbele lakini by the time inataka kutokea Bwawa litakuwa tayari hivyo isingetokea
 
Mtu ameshajifia muacheni apumzike sasa nyie mlio hai mnafanya nini Sasa..?
Hivi mtaacha lini kimbelembele na kupangia watu cha kusema? Hebu acheni undezi aisee aaaah!! Akina Nyerere, Mkapa, Mandela nk hawatajwi?? Au wao hawajatangulia mbele za haki?? Na umejuaje huko waliko wamepumzika?? Ulienda ukawaona wako Beach au mbuga za wanyama wamepumzika??
 
Huyu jamaa......
badala ya kushauri mipango mkakati hali kama hii isijirudie.......
Yy anaongea kwa maana ya kutetea!?
Anawaeleza ukweli maana nyie mmekomaa kumlaumu Makamba tuuu wakati hali halisi mnaijua.
 
Huyu jamaa......
badala ya kushauri mipango mkakati hali kama hii isijirudie.......
Yy anaongea kwa maana ya kutetea!?
Huyo jamaa akishauli lazima nchi itoe machozi, yaani ni full upigaji, wanasiasa wa kizazi kipya wapo kwa maslahi yao Siyo ya taifa.

👉🏾Ndiyo maana nasema Naendelea kujifunza tabia ya binadamu.
 
Kanafki kakubwa haka. Kanafanya watu wajinga. Kanadhani watu wote hatujui kuwa kanam_favour mshikaji wake Waziri wa Nishati.
 
Amekuwa zuzu siku hizi zito
 
Wewe unamwamini?
 
Zitto kwa unafiki na udini ni sehemu ya ngozi yake!!! Kwa sasa hutmuona akimkosoa Mama,anavizia uchaguzi ujao apewe majimbo bara ili chama chake ambacho ni CCM B kiwe ndio kama Chama kikuu cha upinzani!!
 
Makamu wa rais wa Zanzibari anatoka ACT wazalendo.
Zitto ni mwenyekiti wa ACT WAZALENDO
 
Huyu jamaa vipi? Kinachowakera wananchi ni kutangaziwa na kutangaziwa au ni kukosekana kwa huduma kulikokithiri?
Wanasiasa akili zao hata wenyewe hawazielewi!
 
Katumwa kumtetea rafiki yake Makamba
 
Anatumwa na January ..Hana kipya ..hao ndio wanaoenda kusaidia Tanzania ipigwe kwenye mikataba feki ijayo ya umeme

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mpumbavu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…