Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu....Wewe kama hujaelewa nilichoandika pita kimya tusichoshane hapa. Ungekuwa great thinker ungeelewa nilichoandika. Usijivue nguo hadharani.
Hivi mtaacha lini kimbelembele na kupangia watu cha kusema? Hebu acheni undezi aisee aaaah!! Akina Nyerere, Mkapa, Mandela nk hawatajwi?? Au wao hawajatangulia mbele za haki?? Na umejuaje huko waliko wamepumzika?? Ulienda ukawaona wako Beach au mbuga za wanyama wamepumzika??Mtu ameshajifia muacheni apumzike sasa nyie mlio hai mnafanya nini Sasa..?
Anawaeleza ukweli maana nyie mmekomaa kumlaumu Makamba tuuu wakati hali halisi mnaijua.Huyu jamaa......
badala ya kushauri mipango mkakati hali kama hii isijirudie.......
Yy anaongea kwa maana ya kutetea!?
Huyo jamaa akishauli lazima nchi itoe machozi, yaani ni full upigaji, wanasiasa wa kizazi kipya wapo kwa maslahi yao Siyo ya taifa.Huyu jamaa......
badala ya kushauri mipango mkakati hali kama hii isijirudie.......
Yy anaongea kwa maana ya kutetea!?
Kanafki kakubwa haka. Kanafanya watu wajinga. Kanadhani watu wote hatujui kuwa kanam_favour mshikaji wake Waziri wa Nishati.Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema ni hali ya kawaida mwezi November kuwa na mgao wa umeme ila tu awamu iliyopita tulikuwa hatutangaziwi lakini mgao ulikuwepo.
Zitto anasema isingekuwa rahisi kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme awamu iliyopita kwa sababu ya kuogopa ubabe.
Ameandika Zitto Kabwe.
Amekuwa zuzu siku hizi zitoKiongozi mkuu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema ni hali ya kawaida mwezi November kuwa na mgao wa umeme ila tu awamu iliyopita tulikuwa hatutangaziwi lakini mgao ulikuwepo.
Zitto anasema isingekuwa rahisi kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme awamu iliyopita kwa sababu ya kuogopa ubabe.
Ameandika Zitto Kabwe.
Jamaa kashajifia kisiasa...Eti ndio mtu mwenye ndoto na anategemea kuja kumiliki ofisi ya rais siku 1 huyo..
Labda Rais wa TARURA au TAMISEMI asee..
Wewe unamwamini?Zitto ni mtwana wa Makamba and Co, sioni kipya hapo
Tumwamini nani hapa?
Zitto: kila mwezi November hua kuna mgao wa umeme
Makamba: kuna maintanance ya vifaa
Mh raisi: kina cha maji kimepungua
Ukiangalia kauli ya Zitto inapita kule anakopita slave master wake!
Huyu jamaa ndio maana wenzake hawamwamini.
Huyu jamaa vipi? Kinachowakera wananchi ni kutangaziwa na kutangaziwa au ni kukosekana kwa huduma kulikokithiri?Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema ni hali ya kawaida mwezi November kuwa na mgao wa umeme ila tu awamu iliyopita tulikuwa hatutangaziwi lakini mgao ulikuwepo.
Zitto anasema isingekuwa rahisi kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme awamu iliyopita kwa sababu ya kuogopa ubabe.
Ameandika Zitto Kabwe.
Mpumbavu mwingine.Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema ni hali ya kawaida mwezi November kuwa na mgao wa umeme ila tu awamu iliyopita tulikuwa hatutangaziwi lakini mgao ulikuwepo.
Zitto anasema isingekuwa rahisi kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme awamu iliyopita kwa sababu ya kuogopa ubabe.
Ameandika Zitto Kabwe.