figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Imepwaya ila cha ajabu haipewi uhuru wa kufanya mikutano ya siasaViongozi wangapi wa Chaumma wamerudi Chadema? Tuliambiwa Halima Mdee atarudi Chadema, yuko wapi?
Mimi kila siku huwa nawashangaa Chadema kuhangaika na Chaumma. Inaelekea wameanza kujutia uamuzi wao wa kukataa kuwasikiliza walipokuwa Chadema. Chadema ya sasa hivi imepwaya. Ukiwaondoa Lissu, Heche, Mnyika nani mwingine ana mvuto nchi nzima? Sugu na Boni wana nguvu katika majimbo yao tu. Nani mwingine? Labda Msigwa.
Amandla...
Golugwa je?Viongozi wangapi wa Chaumma wamerudi Chadema? Tuliambiwa Halima Mdee atarudi Chadema, yuko wapi?
Mimi kila siku huwa nawashangaa Chadema kuhangaika na Chaumma. Inaelekea wameanza kujutia uamuzi wao wa kukataa kuwasikiliza walipokuwa Chadema. Chadema ya sasa hivi imepwaya. Ukiwaondoa Lissu, Heche, Mnyika nani mwingine ana mvuto nchi nzima? Sugu na Boni wana nguvu katika majimbo yao tu. Nani mwingine? Labda Msigwa.
Amandla...
Ndio kazi ya siasa hiyo mkuu.Kwenye Orodha ya watu nimeapa kutowaamini kwenye haya maisha ni pamoja na hao wanasiasa
Wanabadirika kama mawimbi ya bahari
Punguza uongo na unafiki. Tangu lini CHADEMA ilisema inamtaka Halima Mdee? Halafu ni lini CHADEMA inahangaika na mambo ya chaumma? Chaumma so walishiriki uchaguzi wa urais wakaambulia asilimia 1%. Acheni kujipa umuhimu msio kuwa nayo. Si walitaka kushiriki uchaguzi wakashiriki , walipata Nini?Viongozi wangapi wa Chaumma wamerudi Chadema? Tuliambiwa Halima Mdee atarudi Chadema, yuko wapi?
Mimi kila siku huwa nawashangaa Chadema kuhangaika na Chaumma. Inaelekea wameanza kujutia uamuzi wao wa kukataa kuwasikiliza walipokuwa Chadema. Chadema ya sasa hivi imepwaya. Ukiwaondoa Lissu, Heche, Mnyika nani mwingine ana mvuto nchi nzima? Sugu na Boni wana nguvu katika majimbo yao tu. Nani mwingine? Labda Msigwa.
Amandla...
Ila hii ya kumpa Zitto ubunge wa kuteuliwa na muuaji ndio ilikua the original plan.Wamechelewa hata hivyo! 😊
Zitto ni wa kushindwa ubunge with a big margin... kwao mwandiga na comedian baba levo!! 😊
Joyce Mukya una hasira sana na Chadema toka dango lako Sultan Mbowe lipigwe chini dadeq.Viongozi wangapi wa Chaumma wamerudi Chadema? Tuliambiwa Halima Mdee atarudi Chadema, yuko wapi?
Mimi kila siku huwa nawashangaa Chadema kuhangaika na Chaumma. Inaelekea wameanza kujutia uamuzi wao wa kukataa kuwasikiliza walipokuwa Chadema. Chadema ya sasa hivi imepwaya. Ukiwaondoa Lissu, Heche, Mnyika nani mwingine ana mvuto nchi nzima? Sugu na Boni wana nguvu katika majimbo yao tu. Nani mwingine? Labda Msigwa.
Amandla...
Da Joy ana hasira sana na Chadema.Punguza uongo na unafiki. Tangu lini CHADEMA ilisema inamtaka Halima Mdee? Halafu ni lini CHADEMA inahangaika na mambo ya chaumma? Chaumma so walishiriki uchaguzi wa urais wakaambulia asilimia 1%. Acheni kujipa umuhimu msio kuwa nayo. Si walitaka kushiriki uchaguzi wakashiriki , walipata Nini?
Kwani Halima ni chama gani vile? Wanaohangaika ni CHAUMA kuliko chadema kwa CHAUMA. Lengo la CHAUMA ni kukidhoofisha chadema kwa kufadhiliwa na ccm.Viongozi wangapi wa Chaumma wamerudi Chadema? Tuliambiwa Halima Mdee atarudi Chadema, yuko wapi?
Mimi kila siku huwa nawashangaa Chadema kuhangaika na Chaumma. Inaelekea wameanza kujutia uamuzi wao wa kukataa kuwasikiliza walipokuwa Chadema. Chadema ya sasa hivi imepwaya. Ukiwaondoa Lissu, Heche, Mnyika nani mwingine ana mvuto nchi nzima? Sugu na Boni wana nguvu katika majimbo yao tu. Nani mwingine? Labda Msigwa.
Amandla...
Huyo nyumba ndogo wa Mbowe mjinga sana. Analinganisha CHADEMA na chaumma waliopata Asilimia 1% na bado wakakubali matokeo.Da Joy ana hasira sana na Chadema.