Kabisa MkuuKubadilika badilika ndiyo mwendo wa siasa.
Siasa ni kazi ya ovyo, kama huwezi unafiki kaa mbali nazo bro.
Halima ni kiongozi au ni Mwanachama wa CHAUMMA? Nahisi una lengo la kumchafuaViongozi wangapi wa Chaumma wamerudi Chadema? Tuliambiwa Halima Mdee atarudi Chadema, yuko wapi?
Nimesema wapi kuwa Halima ni mwanachama wa Chaumma?Halima ni kiongozi au ni Mwanachama wa CHAUMMA? Nahisi una lengo la kumchafua
Ni lini chadema walimuomba halima mdee kurudi chademaNimesema wapi kuwa Halima ni mwanachama wa Chaumma?
Halima Mdee hajawahi kuhamia chama chochote baada ya uanachama wake wa Chadema kufutwa. Watu wa Chadema ndio wamekuwa walimuombea arudi Chadema. Yeye mwenyewe hajawahi kusema kuwa ana nia hiyo.
Amandla...
Bila shaka wewe ni "akili kubwa" ya Chadema! Ahahahahaha!!Ni Makubaliano ya kile kinachoitwa nusu Mkate kati ya ACT Wazalendo na CCM.
Hii ni nafasi ambayo Mbowe alikuwa anaitamani, bahati mbaya chama chake kikasusia Uchaguzi.
Hata CHAUMMA wameshiindwa kufikia lengo. Kwani walisema wana nguvu ya kuisambaratisha CHADEMA, wakaomba wapewe Chopa za kuzunguka Nchi nzima na Magaei yenye uwezo.
Kazi iliwashinda CHAUMMA
Wenye Helkopta zao na Magari wakachukua. CHAUMMA kila mtu akaanza kufa na chake matokeo wakagombana. Wengine wanarudi CHADEMA huku Wengine wa huko Kigamboni Wakirudi kwa Mbowe awatete.
Sasa wana mpango wa kukusanya Tonetone kila mkoa.. Ili wapate nguvu ya kupambana na CHADEMA.
Baada ya viongozi wa CHAUMMA kugawana walopewa ya kuisambaratisha CHADEMA Je, CCM itawekeza tena hela kwa CHAUMMA?
Ni wapi nimesema Chadema walimuomba Halima kurudi Chadema? Mimi nilichosema ni kuwa watu wa Chadema ( mashabiki wa Chadema) walitaka kutuaminisha kuwa Halima yuko njiani kurudi. Nakumbuka ilibidi Heche atoe tamko kuwa kama Halima anataka kurudi Chadema anajua utaratibu wa kufuata.Ni lini chadema walimuomba halima mdee kurudi chadema
Sababu unakaa nyuma ya keyboard unatunga uongo
Kwenye hii comment yako umesema tuliambiwa halima mdee atarudi chademaViongozi wangapi wa Chaumma wamerudi Chadema? Tuliambiwa Halima Mdee atarudi Chadema, yuko wapi?
Mimi kila siku huwa nawashangaa Chadema kuhangaika na Chaumma. Inaelekea wameanza kujutia uamuzi wao wa kukataa kuwasikiliza walipokuwa Chadema. Chadema ya sasa hivi imepwaya. Ukiwaondoa Lissu, Heche, Mnyika nani mwingine ana mvuto nchi nzima? Sugu na Boni wana nguvu katika majimbo yao tu. Nani mwingine? Labda Msigwa.
Amandla...
Asha Madogo na Devita Minja ndio nani nchi hii kisiasa ???Catherine Ruge, Suzan Kiwanga, Kigaila, Devota Minja, Aisha Madoga n.k. Sasa niambie katika hao wangapi wamerudi Chadema?
Amandla...
Nimeishakujibu. Unanipotezea muda.Kwenye hii comment yako umesema tuliambiwa halima mdee atarudi chadema
Swali langu ni nani alikuambia halima mdee anarudi chadema
Nimesema Chadema ya Lissu ni dhaifu kuliko ya Mbowe. Rais Samia amesema lini kuwa wanakisubiri Chadema? Ni kama wakati mmekataa kujaza fomu za Tume ya Uchaguzi, mkandani mtabembelezwa! CCM wameisha wajulia. Wanawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa wakati wanaendelea na mambo yao.Hayo majina mepesi sana kuliko ambayo CHADEMA imewahi kuwapoteza. Aisha Madogo na Devita Minja ni nani hao ?
CHADEMA imepoteza kina Zitto na Selasini na Mashinji na Mdee na Kitila Mkumbo na ikaendelea kusimama, sembuse Aisha Madogo na Kigaila ???
Chama kinatishiwa kufutwa, chama kinabembelezwa kifanye maridhiano unasema kiko dhaifu ???
Samia kasema wamekutana na vyama vyote wameelewana ila wanasubiri kimoja ndio wanakisikilizia. Chama dhaifu kitabembelezwa na Rais?? Kwa nn hawakuendelea kivyao bila hichob chama dhaifu ???
Tuhuma za uoongo utoe wewe alafu lawama uwape chademaNimeishakujibu. Unanipotezea muda.
Amandla...
Chama dhaifu kinasubiriwa kwa hamu sana kwenye meza ya maridhianoNimesema Chadema ya Lissu ni dhaifu kuliko ya Mbowe. Rais Samia amesema lini kuwa wanakisubiri Chadema? Ni kama wakati mmekataa kujaza fomu za Tume ya Uchaguzi, mkandani mtabembelezwa! CCM wameisha wajulia. Wanawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa wakati wanaendelea na mambo yao.
Mashinji alikuwa light weight. Na wote uliowataja waliondoka wakati Mbowe alikuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Mbowe alijenga watu wa kuchukua nafasi zao. Hata wakina Halima waliponyang'anywa uanachama, Bawacha ya Sharifa na Ruge iliziba pengo lao vizuri sana.
Mbowe ana kipaji cha kutambua na kuwajenga viongozi. Hata Heche anakiri kuwa Mbowe ndie alimjenga kwenye siasa. Mnyika, Halima na wengine wengi tu nao walijengwa na Mbowe.
Amandla...
CDM ya sasa ina ushawishi na nguvu kuliko miaka yote tangu kuanzishwa kwake.Viongozi wangapi wa Chaumma wamerudi Chadema? Tuliambiwa Halima Mdee atarudi Chadema, yuko wapi?
Mimi kila siku huwa nawashangaa Chadema kuhangaika na Chaumma. Inaelekea wameanza kujutia uamuzi wao wa kukataa kuwasikiliza walipokuwa Chadema. Chadema ya sasa hivi imepwaya. Ukiwaondoa Lissu, Heche, Mnyika nani mwingine ana mvuto nchi nzima? Sugu na Boni wana nguvu katika majimbo yao tu. Nani mwingine? Labda Msigwa.
Amandla...
Hata urudie vipi haibadilishi ukweli. Kama nilivyosema, unanipotezea muda. Kwaheri.Tuhuma za uoongo utoe wewe alafu lawama uwape chadema
Unaongea kikada, kama shabiki tu lenye mapenzi na CCMNimesema Chadema ya Lissu ni dhaifu kuliko ya Mbowe. Rais Samia amesema lini kuwa wanakisubiri Chadema? Ni kama wakati mmekataa kujaza fomu za Tume ya Uchaguzi, mkandani mtabembelezwa! CCM wameisha wajulia. Wanawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa wakati wanaendelea na mambo yao.
Mashinji alikuwa light weight. Na wote uliowataja waliondoka wakati Mbowe alikuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Mbowe alijenga watu wa kuchukua nafasi zao. Hata wakina Halima waliponyang'anywa uanachama, Bawacha ya Sharifa na Ruge iliziba pengo lao vizuri sana.
Mbowe ana kipaji cha kutambua na kuwajenga viongozi. Hata Heche anakiri kuwa Mbowe ndie alimjenga kwenye siasa. Mnyika, Halima na wengine wengi tu nao walijengwa na Mbowe.
Amandla...
Na wewe hauongei kishabiki? Shabiki lenye mapenzi na Chadema ya siasa ngumu! Hebu nipe mfano wa hizo siasa ngumu na mafanikio yake. Kitu pekee tunacho kiona ni simulizi za Lissu kukataa kutoka mahabusu kwa sharti la kuunga mkono maridhiano. Hakuna hata mmoja wenu aliyediriki kuandamana kudai kiongozi wenu aachiwe. Mmepigwa stop kufanya siasa na kweli mkaufyata.Unaongea kikada, kama shabiki tu lenye mapenzi na CCM
Who in their right mind nchini leo anasema kwamba CCM walikuwa na response nzuri ( wameshawajulia chadema) pale CHADEMA walipogoma na CCM wakaendelea na mipango ya uchaguzi uliokuwa hauna upinzani..... Matokeo yake ilikuwaje, uchaguzi ulifanyika ?
Samia aliposema "kuna wenzetu... chama kimoja ... wamegoma tunawazungumza nao..." Kwa hiyo we hujui alikuwa anaongelea kina nani?
Chama kinachotishiwa kufutwa kila uchwao, kulimwa mabarua, wanachama wake kutekwa na kuuliwa kutwa kucha, kufunguliwa makesi ya ugaidi na uhaini unasemaje ni dhaifu kuliko kile cha Mbowe? Acha kuongea kikada, acha kujizima data
Halafu, hata kama chama kile moderate and acquiescent cha Mbowe kilikuwa ndo bora zaidi KILI ACHIEVE NINI ???, CHADEMA YA MBOWE, SOFTCORE OPPOSITION POLITICS ZILIWAFIKISHA WAPI ?????
Wanachadema walishaamua, tunataka hardcore opposition politics. Tunataka Siasa Ngumu.