nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Nini kifanyike sasa. Inaonekana unamwona mbowe kama kiongozi dhaifu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huu ambao majibu ya waliomdhuru Lisu hayajapatikana haikuwa wakati wa maridhiano, je Lisu anaonaje? Je anakubaliana na Mbowe kuomba maridhiano ikiwa kila siku anasema hawezi kurejea nchini kwasababu ya usalama wake kutokuwa wa kuaminika? Mbowe amefanya mambo ya hovyo sanaNijuavyo mimi aombaye maridhiano ni aliyeshindwa, kwa maana hiyo Mbowe anaomba maridhiano kwa kutomtambua Magufuli kama Rais pamoja na serikali yake? Kwa kususia chaguzi za serikali za mitaa zilizofanyika hivi karibuni?Kwa kuzuiwa kufanya mikutano hata ya ndani ya chama? Kwa kesi zinazowakabili mahakamani?n.k
Ni kipi hasa kilichompelekea yeye kuomba maridhiano baada ya madhila yote waliyofanyiwa ikiwemo Mwanasheria wake mkuu wa chama anayeishi uhamishoni mpaka sasa baada ya shambulizi la kikatili?
Sawa,baada ya kuomba maridhiano wamefikia makubaliano yepi?
Mbowe katuvunja sana moyo tuliowaamini, ilikuwa move ya hovyo kabisa kufanywa na tuliyemuamini kama kiongozi shupavu kwenda kupiga goti kuomba poo kwa waliyetuaminisha ni mtesi wao.
Unless atuambie waliyokubaliana katika maridhiano hayo na tuone kwa vitendo vinginevyo tutachukulia kama maridhiano yatakayomnufaisha yeye binafsi na viongozi wenzie chamani mwake.
Ngoja nikuulize swali dogo tu, hivi unadhani Mbowe ndiye aliyefyaua ile risasi iliyomwua Akwilina akiwa ndani ya basi la daladala??Iko wazi Mbowe anajaribu kuukwepa mlango wa kuingia jela kupitia kesi ya akwilina ikiwa ni pamoja na kukilindaa kibarua chake.
Iweje Leo aombe maridhiano kwa mtu asiyemtambua kama Rais wa Nchi hii?
Kama walisusia Uchaguzi Serikali za mitaa halafu Leo hii anataka yeye awepo bungeni term ijayo? Je huo sio ubinafsi? Je shutuma zilizokuwa zikitolewa kwa muda mrefu kwamba Serikali inatesa na kuau watu Leo kumebadilika nini? Nimekuwa shabiki na kupigia kura wapinzani kwa term nne tofauti lakini kwa kitendo cha Mbowe kuomba poo nimemshusha vyeo vyote.
Kwangu Mbowe namuona kama wasaliti wengine tu, iweje aombe poo kwa mtu aliyemshtumu kumdhuru Lisu? Sio Mbowe aliyebariki safari za Lisu nje ya Nchi kuipaka matope Tanzania na Serikali yake?
Mwisho kabisa swala la watazania kupigana vita kwasababu ya Siasa zisizo na kichwa wala miguu liondoe kichwani kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninafahamu Mbowe hakufyatua lisasi na hakuua, na ndio maana nikasema anawezaje kuomba maridhiano ikiwa yeye tu amegeuziwa kibao kwenye kesi kama ile? Anaombaje maridhiano ikiwa wenzake wanaandamwa na kesi mahakamani? Je vipi Lisu anaunga mkono maridhiano? Je Mbowe amehakiiisha usalama wa Lisu ili aweze kurejea nyumbani kuendelea na maisha yako? Kama sivyo basi naamini Mbowe analinda kibarua chake na huo nitauita ubinafsi uliokubuhu! Hivi familia ya Lisu inajisikiaje?Ngoja nikuulize swali dogo tu, hivi unadhani Mbowe ndiye aliyefyaua ile risasi iliyomwua Akwilina akiwa ndani ya basi la daladala??
Hebu wewe nieleze sababu zipi zilizofanya yule askari aliyefyatua kizembe bunduki yake hadi kusababisha kifo cha mwanafunzi yule asiye na hatua, ambaye wala hakuwa miongoni ya waandamanaji??
Hicho ndiyo kitu tunachiweza kukiita "kujimwambafai" na kuweza kuwabambikia kesi akina Mbowe, wakati mhalifu halisi akiachiwa huru mitaani!
Ninafahamu Mbowe hakufyatua lisasi na hakuua, na ndio maana nikasema anawezaje kuomba maridhiano ikiwa yeye tu amegeuziwa kibao kwenye kesi kama ile? Anaombaje maridhiano ikiwa wenzake wanaandamwa na kesi mahakamani? Je vipi Lisu anaunga mkono maridhiano? Je Mbowe amehakiiisha usalama wa Lisu ili aweze kurejea nyumbani kuendelea na maisha yako? Kama sivyo basi naamini Mbowe analinda kibarua chake na huo nitauita ubinafsi uliokubuhu! Hivi familia ya Lisu inajisikiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto yupo sahihi kwa namna nyingi sana, Chadema wamekosea..Zitto yuko sahihi.
..cdm pia wako sahihi.
..maridhiano yakishindikana, then hatua anazopendekeza Zitto zitakuwa muafaka.
Kwa maana hiyo sasa tusalimu amri? Hivi unafikiri huyo kiongozi anayejimwambafai atatoa masharti gani baada ya sisi kuomba suluhu (maridhiano)? Atapiga marufuku kukosolewa,jaribio lolote la maandamano ya kudai haki n.kWewe hivi hujaona tatizo linaanzia wapi??
Ni kutokana na kitendo cha "kujimwambafai" kwa mkuu wetu, kwa kuamini kuwa yeye ndiye anayelimiliki Jeshi la Polisi nchini na kwa yeyote anayempinga yeye, hata kama ni kwa "constructive criticism" basi ataliamrisha Jeshi *lake" limshughulikie mtu huyo!
Na kwa namna Jeshi letu lilivyopoteza kufanya kazi yake kwa weledi, litatii amri hiyo Ingawa linajua kuwa siyo amri halali!
Hakuna Asiyejua Hali Zamani Kule Zanzibar Ilivyokuwa Hata Salaam Ikawa Watu Wengi Sana HawasalimianiMkuu Kennedy upo sahihi kwa asilimia 100
Wengi wa wachangiaji wanauchukulia ule kuwa ni mpambano mathalani wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba, wakati kiuhalisia alichofanya Mbowe, ni kuiepusha nchi yetu isiingie kwenye machafuko ya kupigana sisi wenyewe kwa wenyewe
Ningependa kuona watu wanaomkosoa Zitto waje na hoja na si personal attack
1. Maridhiano kutokana na kitu gani? Kuna tatizo gani lililohitaji maridhiano?
2. Uchaguzi wa serikali za mitaa umefanyika kihuni, umemamlizika kihuni.
Mbowe anataka maridhiano gani katika mazingira kama hayo?
3. Kwanini Mbowe akiwa KUB hakushirikisha Wapinzani wengine ambao walishiriki vyema katika kupinga uchaguzi wa serikali za mitaa, kama ACT?
4. Mbowe anataka maridhiano kama Kiongozi wa Chadema au kiongozi wa kambi ya Upinzani?
Someni hoja za Zitto kwa upana na utulivu, kuna makosa makubwa sana ya Mbowe na CDM
Kwa wanaofuatilia duru za siasa, Mbowe anataka kuondoa pressure ndani ya chama chake kuelekea uchaguzi. Presha hiyo imejengwa na mazingira ya kutatanisha sana
Kuna malalamiko kwamba uchaguzi mkuu utaishia, mtu vs giza, template ya CCM
Huu kama siyo ujima ni maridhiano!
Ili kubadili mwenendo, Mbowe anataka maridhiano ya kudai haki!
Yaani anataka haki katika silver plate, tena haki yake. Ni mbaya kuliko
Ninyi CDM kuna tatizo, hili la maridhiano ni dalili tu. Kuna tatizo la uongozi, kwenu huenda ni jipya kwa wengine si jipya.
Tofauti ipo kubwa sana, wakati CDM walikubaliana ndani ya kamati kuu waende kwenye sherehe za uhuru wa Tanzania, na wakasema walichokisema mbele ya halaiki ya watu, Zitto alikuwa anatoroka usiku, anaenda kufichwa chumbani, hata hatujui alikuwa anamwaambia nini babake!. af akitoka huko anakuja anasema nataka uenyekiti CDM!, hahaaa..Hayo aliyokuwa anafanya Zitto kipindi cha Kikwete na haya wanayofanya wakina Mbowe yakuomba waonewe huruma yanatofauti gani mkuu?.
Yaani siasa alizofanya Zitto tukaziona zakijinga ndio hizohizo wanakujanazo wakina Mbowe.
Unaomba maridhiano upewe haki zako kwenye sahani na anae anaekupora haki?.Tofauti ipo kubwa sana, wakati CDM walikubaliana ndani ya kamati kuu waende kwenye sherehe za uhuru wa Tanzania, na wakasema walichokisema mbele ya halaiki ya watu, Zitto alikuwa anatoroka usiku, anaenda kufichwa chumbani, hata hatujui alikuwa anamwaambia nini babake!. af akitoka huko anakuja anasema nataka uenyekiti CDM!, hahaaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningependa kuona watu wanaomkosoa Zitto waje na hoja na si personal attack
1. Maridhiano kutokana na kitu gani? Kuna tatizo gani lililohitaji maridhiano?
2. Uchaguzi wa serikali za mitaa umefanyika kihuni, umemamlizika kihuni.
Mbowe anataka maridhiano gani katika mazingira kama hayo?
3. Kwanini Mbowe akiwa KUB hakushirikisha Wapinzani wengine ambao walishiriki vyema katika kupinga uchaguzi wa serikali za mitaa, kama ACT?
4. Mbowe anataka maridhiano kama Kiongozi wa Chadema au kiongozi wa kambi ya Upinzani?
Someni hoja za Zitto kwa upana na utulivu, kuna makosa makubwa sana ya Mbowe na CDM
Kwa wanaofuatilia duru za siasa, Mbowe anataka kuondoa pressure ndani ya chama chake kuelekea uchaguzi. Presha hiyo imejengwa na mazingira ya kutatanisha sana
Kuna malalamiko kwamba uchaguzi mkuu utaishia, mtu vs giza, template ya CCM
Huu kama siyo ujima ni maridhiano!
Ili kubadili mwenendo, Mbowe anataka maridhiano ya kudai haki!
Yaani anataka haki katika silver plate, tena haki yake. Ni mbaya kuliko
Ninyi CDM kuna tatizo, hili la maridhiano ni dalili tu. Kuna tatizo la uongozi, kwenu huenda ni jipya kwa wengine si jipya.
Zitto huyuhuyu kwenye uzinduzi wa bunge aliamua kubaki na kusikiliza hotuba ya Magufuli akitofautiana na wabunge wengine wa upinzani walioamua kususia na hakuna aliyemehutumu. Katika siasa watu hutumia mbinu tofauti kufanikisha malengo yao.Zitto kapanic kwa lile walilofanya CHADEMA jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CHADEMA!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuuliza kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!