Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!

ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Watoto gani ndugu? Wa kwangu mimi au wa kwenu huko CCM?

Haiwezekani uwe hujaelewa hoja hii bali ninachokiona kwako ni frustrations kwa kuwa YOU ARE EXPOSED!!

Inasikitisha sana kuwa, hizi mbinu za wizi fedha kwa watawala wa Kiafrika kwa ajili ya kujiimarisha madarakani kwa Tanzania naona zimevuka mipaka na kuingia hadi WB...!!

Thank God maana ujanja ujanja wao umeshitukiwa.

Yaani kilichoandikwa kwenye andiko la kuombea hizo fedha kumbe ni ulaghai na wizi mtupu!!

Mimi nilikuwa hata sijui kuwa FDCs kumbe huwa ni MALI ZA CCM!!

Sasa andiko linasema fedha hizo zitajenga shule mpya 1,000 kumbe in contrary, zinakwenda kununua hivi vyuo vya CCM na kuzigeuza sijui nini!!

Kwa kweli hili kama ni kweli, na kwa uongo huu wa serikali, hatuna haja na mkopo huu wenye nia mbaya...!!
 
Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!

ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Hapa ndo naona maana ya sheria ya Kukataza warundi kuja kufanya siasa nchini. Zitto alimmukana Lissu kwa Sababu hizi hizi za kuomba kunyimwa miisaada leo kabugia tapishi lake na kushushia ulanzi wa baridi. Haya tumenyimwa msaada wale ndugu zake zitto Kule kazullamimba na funza wanapata faida ipi kama si uhaini wa nchi
 
Duh! Kwani WB wanesema wameinyima TZ huo mkopo? Soma na sikiliza kwanza uelewe ndiyo uje kutoa povo lako hapa kama upo umuhimu wa kulitoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom