mkuu achana na propaganda za kidini kabisa, moto wake hutouweza kbs..Wazungu Wana akili mno .Kuna mtu kanitonya
Ni kuwa world Bank kuna mabosi wa kiislamu wa uarabuni waliongea nao kuhusu ajenda za kuruhusu ndoa za utotoni sababu kwenye uislamu kuoa mtoto ruksa.Sisi Kuna Sheria ya Haki za mtoto kusoma nk na umri wa kuolewa ni miaka 18 na kuendelea .Wakaona kutubadilisha Ni wagumu
Ndio wanapitia world Bank ili itumike Tanzania kuhalalisha ndoa za utotoni
Zitto Kabwe kabeba agenda ya kidinii zaidi akitetea ndoa na mimba za utotoni za kiislamu .Wapata mimba wengi utotoni ni wasichana wa kiislamu ili likipita vitoto vya kike vikina Asha Ngedere,Mwajuma Nichokonoe,Maimuna Kigodoro nk wasiogope kubeba mimba wakiwa wadogo
Lengo kuu kuhalalisha mimba za utotoni
Naona US wameshaanza kuwawekea vikwazo vijana wa Lumumba kukanyaga nchini mwao....,bado wewe.Kwani nani kamwambia anaogopa? Zitto aache kubwabwaja.
Nipo huku tayari.Naona US wameshaanza kuwawekea vikwazo vijana wa Lumumba kukanyaga nchini mwao....,bado wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania kwa WB.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kalaghabaho! Ninyi ni akina nani!!? Yaani mvunje haki za watu halafu Dunia iwaanglie tu.katafuteni nchi yenu akufanyia ujinga wenu nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba mtaongea sana lakini hamuwezi kushindana na sisi
Tukipinga UKANDAMIZAJI na utawala usiozingatia taratibu, SERIKALI (sio wananchi) itawekewa vikwazo then ITASHINDWA halafu itakosa uhalali wa kuongoza then TUTACHOKA NA KUITIMUA baas. Hakuna mwenye hasara, kwani wapi pameandikwa kuwa ni lazima watawale wao tu tena kwa namna wanayotaka wao? TUMECHOKA.Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!
ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
kwani serikali ikikopa nan analipa mkopo? kama ulikuwa hujui mim na wew na wajukuu zako ndio tutaulipa mkopoAnayekopa Ni binti au serikali? Huyo binti analipaje mkopo?
Ahaaa!!! ahaaa! Rrondo umenichekesha kweli! yaani nimekujua bureee!Tajiri mkuda wewe
Upo sahihi mkuu ule ulikuwa ni mkopo ambao ungelipwa na watanzania wote bila kujali itikadi zao wakiwemo wazazi wa watoto ambao wanatimuliwa shule kwa sababu ya ujauzitoTangu lini ccm ikalipa kodi mkuu, hizo siyo pesa za ccm bali kodi za watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Zitto kuongozwa na hisia kwamba eti ccm huenda itatumia Mkopo kutoka WB kujinufaisha kisiasa kwa kudanganya wapiga kura CCM ndiyo imetoa hela zake kusomesha Watoto, ndizo zinatosha kuhamaki na kwenda kuichonganisha Serikali na WB ? Je nini Afya ya Jitihada za Zitto kwa Taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Zitto kuongozwa na hisia kwamba eti ccm huenda itatumia Mkopo kutoka WB kujinufaisha kisiasa kwa kudanganya wapiga kura CCM ndiyo imetoa hela zake kusomesha Watoto, ndizo zinatosha kuhamaki na kwenda kuichonganisha Serikali na WB ? Je nini Afya ya Jitihada za Zitto kwa Taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app