change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 729
- 1,559
CCM wameshawafunga watanzania minyororo!! watanzania tuko kwenye usingizi wa pono,tukiamka kujigeuza tunakutana na mambo ya Simba na utopolo yanga,Habari za Tanzania ukizifuatilia lazima upate presha,halafu kuna watu wanajigamba wataongoza miaka 100, kwa ujingaa huu
CCM wameshawafunga watanzania minyororo!! watanzania tuko kwenye usingizi wa pono,tukiamka kujigeuza tunakutana na mambo ya Simba na utopolo yanga,Habari za Tanzania ukizifuatilia lazima upate presha,halafu kuna watu wanajigamba wataongoza miaka 100, kwa ujingaa huu
Erio karibu kisutuMradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Akili za CCM.Sasa tufanyeje?
Kuna kipindi niliwahi kutoa maoni kuhusu uwekezaji wa kiwanda hiki cha sukari kupitia mifuko ya jamii, ambapo nilieleza kuwa in long run huu uwekezaji utaiua mifuko ya jamii. Kuna watu walibisha sana na kutukana juu, wakisema tunakwamisha Maendeleo. Leo mmejionea wenyewe.Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Hayo mapagale wkati yanajengwa si ndo hao akina Zitto na shoga yake Dau walikuwa wanakula pesa za NSSF. Yeye anakuja na hili la kiwanda, mara mashamba yamechomwa mara pesa bhla! bhla!Mapagale ya Kigamboni kaama unaelekea Kimbiji yalitelekezwa na NSSF wakashauriwa waingie makubaliano na taasisi zinazojiendesha kibiashara ziyaendeleze lakini wapi. Mamilioni yatumbukia msalani bure
Uonevu huzaa Hasira ambayo huzaa vitendo vya kujihami ama kulipiza kisasi au kukomesha kwa kutendwa isivyo halali.
Pesa za wafanyakazi zinatumika isvyo halali na serikali tena kwa vitisho kana kwamba ni mali yao.
1. FAO la kujitoa lirejeshwe
2. Wazee wastaafu walipwe stahiki zao kwa wakati na kwa thamani halisi
3. Wafanyakazi wadai riba ya uwekezaji ambayo serikali huwa inafanya maana wafanyakazi hawakuomba kuhifdhiwa pesa zao ila ulitumika UBABE kupitia sheria zinazopitishwa na wabunge wasiojali maslahi ya wananchi (Wabunge ni sehemu wahujumu wa mifuko ya jamii ambayo chanzo chake ni makato kutoka kwenye mishahara ya wafanyakazi wakidai ni makato ya lazima kisheria (mandatory deduction)
4. Riba ya asilimia 2% ni unyonyaji ambao haukubaliki tena
Huyo unayemuita 'mama' elimu yake unaijua? Ukifuatilia alikopitia kielimu hadi ubunge na uwaziri unakata tamaa! She is a zero material.Nakumbuka Mama Jenister Mhagama alikuwa anapiga sana ' selfie' akikagua mashamba hayo ya miwa na uwekezaji huo wa NSSF/ Magereza, labda sasa anaweza tupa mrejesho...... kaazikweli kweli.
Kuna watu wana papala ile mbaya! Viwanda vya sukari nchini kwa sasa viko mikononi mwa private sector. Hiki kinakuja kushindana na private sector ambayo huwa inajidai kufunga uzalishaji na kupandisha bei ya sukari. Je hii inaweza kuwa ni sabotage sawa na ile inayofanyika kwenye reli ili kuangusha mabehewa? Private scotor yetu imejaa ulaghai na upuuzi sana.Twendeni taratibu
nani kachoma moto shamba?
kwa nini?.
Shamba la bibi na babu[emoji20][emoji45][emoji35][emoji34]Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Wanafanya maksudi ili watu wachache ndy wawe wanazalisha ndani au kuimport toka nje,kuna michezo wanafanyaUpo sahihi lakini ni kweli tunatakiwa tuwe na upungufu wa sukari kila mwaka Tanzania na kwa nini hicho kitu Nchi zingine majirani zetu hakuna na wana bei pungufu kuliko sisi na ni hao hao Ilovo...
Unafikiri wanajali mkuuInasikitisha Sana Mkuu ,ona Mijifedha inaenda kuteketea bure!! Ingependeza walioengineer huo mradi wawekwe ndani kwa uhujumu Uchumi.
Ndio maana NSSF wanapiga chapuo kutoa fedha kwa wastaafu,kumbe fedha zote wanapeleka kuzitapakanya.
Waswana ka Nchi kadogo tuu huwa wanazalisha mpaka ziada na hiyo ziada muda mwingine wanakosa soko mpaka zinapita siku za matumizi wanachoma Moto bongo kila kukicha sukari ni big ishu ili wapewe wachache vibali wapige pesa...Wanafanya maksudi ili watu wachache ndy wawe wanazalisha ndani au kuimport toka nje,kuna michezo wanafanya
Ova
Shida ndiyo hapoWaswana ka Nchi kadogo tuu huwa wanazalisha mpaka ziada na hiyo ziada muda mwingine wanakosa soko mpaka zinapita siku za matumizi wanachoma Moto bongo kila kukicha sukari ni big ishu ili wapewe wachache vibali wapige pesa...