change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 729
- 1,559
CCM wameshawafunga watanzania minyororo!! watanzania tuko kwenye usingizi wa pono,tukiamka kujigeuza tunakutana na mambo ya Simba na utopolo yanga,Habari za Tanzania ukizifuatilia lazima upate presha,halafu kuna watu wanajigamba wataongoza miaka 100, kwa ujingaa huu
tukigeuka kizazi cha sasa tunakutana na habari za kukata mauno za wahuni wa bongo movies,na msanii diamond na vituko vyake, hizo ndizo habari tunazopenda kusikia na kujadili uku tukiwa na uchungu sana.
Kwanini wasitutawale hata miaka 200!!!