Zitto kabwe: Mradi wa NSSF wa kiwanda cha kuzalisha sukari Mkulanzi kilichogharimu Tsh bilioni 130 hakijazalisha hata tani moja mpaka sasa

Zitto kabwe: Mradi wa NSSF wa kiwanda cha kuzalisha sukari Mkulanzi kilichogharimu Tsh bilioni 130 hakijazalisha hata tani moja mpaka sasa

Habari za Tanzania ukizifuatilia lazima upate presha,halafu kuna watu wanajigamba wataongoza miaka 100, kwa ujingaa huu
CCM wameshawafunga watanzania minyororo!! watanzania tuko kwenye usingizi wa pono,tukiamka kujigeuza tunakutana na mambo ya Simba na utopolo yanga,
tukigeuka kizazi cha sasa tunakutana na habari za kukata mauno za wahuni wa bongo movies,na msanii diamond na vituko vyake, hizo ndizo habari tunazopenda kusikia na kujadili uku tukiwa na uchungu sana.
Kwanini wasitutawale hata miaka 200!!!
 
Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.

Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.

Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Erio karibu kisutu
 
Yale mapagale ya Kigamboni jamani nani wa kuyasemea fedha za wanachama zinateketea bure [emoji24][emoji24][emoji24]

Nchi tutapaje kupona?

Kwani tatizo ni nini hadi kukwamishwa pale?

Wapi Dau? [emoji2369]
 
Kama vipi wanafanye uhakiki ni gharama gani wameingia pale kisha waweke premium halafu watangaze kuuza ili kurudisha hela za wananchi jamani [emoji24][emoji24]

Kuendelea kubaki na hali ile itakuwa hasara kubwa sana.

Kwanini mabilioni yapotezwe bure kirahisi hivyo?

Kwanini hatujali mambo ya thamani?

Tunamkomoa nani?

Nani awajibishwe kwa kadhia hiyo?
 
Mazingira ya biashara Tanzania ni magumu sana, serikali ikiwa kikwazo namba moja.

Watu walihakikishiwa soko la miwa, wakanunua mashamba, wakalima miwa kwa wingi, ila kiwanda kikapotelewa hewani.

Sasa fikiria kwamba mtu alikopa kufanya kilimo akijua soko linakuja, yani hapo its a total loss.

Karibu Tanzania.
 
Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.

Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.

Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Kuna kipindi niliwahi kutoa maoni kuhusu uwekezaji wa kiwanda hiki cha sukari kupitia mifuko ya jamii, ambapo nilieleza kuwa in long run huu uwekezaji utaiua mifuko ya jamii. Kuna watu walibisha sana na kutukana juu, wakisema tunakwamisha Maendeleo. Leo mmejionea wenyewe.
 
Mapagale ya Kigamboni kaama unaelekea Kimbiji yalitelekezwa na NSSF wakashauriwa waingie makubaliano na taasisi zinazojiendesha kibiashara ziyaendeleze lakini wapi. Mamilioni yatumbukia msalani bure

Uonevu huzaa Hasira ambayo huzaa vitendo vya kujihami ama kulipiza kisasi au kukomesha kwa kutendwa isivyo halali.

Pesa za wafanyakazi zinatumika isvyo halali na serikali tena kwa vitisho kana kwamba ni mali yao.

1. FAO la kujitoa lirejeshwe
2. Wazee wastaafu walipwe stahiki zao kwa wakati na kwa thamani halisi
3. Wafanyakazi wadai riba ya uwekezaji ambayo serikali huwa inafanya maana wafanyakazi hawakuomba kuhifdhiwa pesa zao ila ulitumika UBABE kupitia sheria zinazopitishwa na wabunge wasiojali maslahi ya wananchi (Wabunge ni sehemu wahujumu wa mifuko ya jamii ambayo chanzo chake ni makato kutoka kwenye mishahara ya wafanyakazi wakidai ni makato ya lazima kisheria (mandatory deduction)
4. Riba ya asilimia 2% ni unyonyaji ambao haukubaliki tena
Hayo mapagale wkati yanajengwa si ndo hao akina Zitto na shoga yake Dau walikuwa wanakula pesa za NSSF. Yeye anakuja na hili la kiwanda, mara mashamba yamechomwa mara pesa bhla! bhla!
 
Nakumbuka Mama Jenister Mhagama alikuwa anapiga sana ' selfie' akikagua mashamba hayo ya miwa na uwekezaji huo wa NSSF/ Magereza, labda sasa anaweza tupa mrejesho...... kaazikweli kweli.
Huyo unayemuita 'mama' elimu yake unaijua? Ukifuatilia alikopitia kielimu hadi ubunge na uwaziri unakata tamaa! She is a zero material.
 
Twendeni taratibu

nani kachoma moto shamba?

kwa nini?.
Kuna watu wana papala ile mbaya! Viwanda vya sukari nchini kwa sasa viko mikononi mwa private sector. Hiki kinakuja kushindana na private sector ambayo huwa inajidai kufunga uzalishaji na kupandisha bei ya sukari. Je hii inaweza kuwa ni sabotage sawa na ile inayofanyika kwenye reli ili kuangusha mabehewa? Private scotor yetu imejaa ulaghai na upuuzi sana.
 
Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.

Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.

Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Shamba la bibi na babu[emoji20][emoji45][emoji35][emoji34]
 
Ijulikane kwanza hatima ya yale mapagale ya maghorofa pale Kigamboni.

Kadiri muda unavyoenda na yanavyozidi kuwa na hali ile ndivyo hasara inavyozidi.

Mwogopeni Mungu.
 
Kwani yale ndio yale ambayo yalisemekana ardhi kunuuliwa kwa bei ghali kupika kiasi?

Je taarifa ya CAG ilionesha ekar moja kununuliwa kwa shilingi ngapi vile?
 
Upo sahihi lakini ni kweli tunatakiwa tuwe na upungufu wa sukari kila mwaka Tanzania na kwa nini hicho kitu Nchi zingine majirani zetu hakuna na wana bei pungufu kuliko sisi na ni hao hao Ilovo...
Wanafanya maksudi ili watu wachache ndy wawe wanazalisha ndani au kuimport toka nje,kuna michezo wanafanya

Ova
 
Inasikitisha Sana Mkuu ,ona Mijifedha inaenda kuteketea bure!! Ingependeza walioengineer huo mradi wawekwe ndani kwa uhujumu Uchumi.

Ndio maana NSSF wanapiga chapuo kutoa fedha kwa wastaafu,kumbe fedha zote wanapeleka kuzitapakanya.
Unafikiri wanajali mkuu

Ova
 
Wanafanya maksudi ili watu wachache ndy wawe wanazalisha ndani au kuimport toka nje,kuna michezo wanafanya

Ova
Waswana ka Nchi kadogo tuu huwa wanazalisha mpaka ziada na hiyo ziada muda mwingine wanakosa soko mpaka zinapita siku za matumizi wanachoma Moto bongo kila kukicha sukari ni big ishu ili wapewe wachache vibali wapige pesa...
 
Shida ndiyo hapo

Ova
 
Back
Top Bottom