Kwa hiyo aliyechoma moto miwa ni serikari aubni watu waliotumwa na zito ili aje kulalamika hpa?Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Nadhani kuna zaidi ila hizo 800 ndizo walilimaHaiwezekani kuzalisha tani 250,000 kwa kulima hekta 800 (Narudia haiwezekani, hiyo ilikuwa lugha ya kutapeli pesa za wafanyanyakazi tu)
TPC inalima hekta hazizidi 8000 lakini hawajawahi kuzalisha kuzidi tani 120,000
Kilombero Sukari (ILLOVO) iwanalima sio pungufu ya hekta 16,000 jumlisha wakulima wa nje (Outgrowers) lakini haijawahi kuzalisha kuzidi tani 250,000
Sasa muujiza wa kiwanda cha MVUHA kinatokea wapi?
Zitto's observation is right and he has spoken minds of many voiceless.
Simply....ukijuwa kusoma na kuandika unakuwa MP/MBUNGE,halafu unaongea maneno ya ajabu.Ila hii nchi tunapigwa, ila na tulivyo wajinga na mafala tunaishia kushangilia, huu ujinga wetu utatuisha lini?
Kwa nini tuna kiwango hiki cha ujinga?
Ni lini utambuzi utatuijia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] biashara pekee yenye risks ndogo ni real estate ndio maana walikuwa huko lakini Magu aliharibu kila kituMifuko ya Hifadhi ya Jamii inapoacha kazi zake za msingi na kuingizwa mkenge na wanasiasa uchwara.Wastaafu wanakosa mafao yao huku fedha zao zikiingizwa katika biashara ,ujenzi na viwanda uchwara.
Bei ilikuwa 2000-2500 ,muulizeni mwendazake alifanyaje hadi bei kuwa. 3000-3500?Upo sahihi lakini ni kweli tunatakiwa tuwe na upungufu wa sukari kila mwaka Tanzania na kwa nini hicho kitu Nchi zingine majirani zetu hakuna na wana bei pungufu kuliko sisi na ni hao hao Ilovo...
Hiyo ndiyo kazi ya awamu ya 5. Ndiyo Legacy tuliachiwa. Nina hasira mno na hiyo awamu. Tulidanganywa mno kama watoto wadogo. Ndiyo maana uhuru wa Habari ulibinywa ili wale investigative Journalists wasifukue madudu. Nguvu kubwa ilitumika kificha maovu. Sasa yanawekwa hadharani. Hiyo ndiyo Legacy. Narudia hiyo ndiyo legacy.Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Mazingira ya uchumi yalikuwa yanaruhusu ila yalivurugwa na marehemu ndio maana miradi imejifiaHayo mapagale wkati yanajengwa si ndo hao akina Zitto na shoga yake Dau walikuwa wanakula pesa za NSSF. Yeye anakuja na hili la kiwanda, mara mashamba yamechomwa mara pesa bhla! bhla!
Ukiweka business minded staff ambao wamefanya Kazi nje au ndani ndio waendeshe haya mashirika kibiashara yatafaulu ila sio hao wajinga mliwaokota kwenye Utumishi wa ummaWaswana ka Nchi kadogo tuu huwa wanazalisha mpaka ziada na hiyo ziada muda mwingine wanakosa soko mpaka zinapita siku za matumizi wanachoma Moto bongo kila kukicha sukari ni big ishu ili wapewe wachache vibali wapige pesa...
Zeeeeero brain ππππ.Huyo unayemuita 'mama' elimu yake unaijua? Ukifuatilia alikopitia kielimu hadi ubunge na uwaziri unakata tamaa! She is a zero material.
Kwani NSSF wanyewe wanasemaje?Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Wametupiga sana hao wahuni aisee acha kabisa..Bei ilikuwa 2000-2500 ,muulizeni mwendazake alifanyaje hadi bei kuwa. 3000-3500?
Sana bila wa kusahau na ule mradi wa jimboni kwake wa kununua viwania kwa heka milioni 200.NSSF wana miradi mingi ya ajabu
Well said my friend!!!!Hata kile kiwanda cha mabuti cha magereza lazima kitajifia.
Ushauri hawa watu wakijenga na kuweka mtaji kwenye hii miradi wauze sekta binafsi iendeshe au wafanye kwa ubia.
Mtu anaepokea salary ya serikali na biashara wapi na wapi?