Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Kwa hiyo aliyechoma moto miwa ni serikari aubni watu waliotumwa na zito ili aje kulalamika hpa?Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Je miwa hiyo haitalimwa tena?