Kwa hiyo kesi ndio mmeamua mumfungulie leo baada ya muda wote huo?[emoji16]Ana kesi ya ML tangu enzi za JK, mnakumbuka chama chake mfu cha CHADEMA waliwahi kuleta ushahidi wa transfer ya hela from German kupitia WMU? So atulie tu maana aliwatumia wazee uchwara kuitisha serikali (yaani kajiona yeye ndiye bora kabisa kuzidi watanzania mil 50 plus). Zito kichwani mwake kuna tatizo huenda ni moja ya wale 1%
Ni kweli cheif, sasa ili kuwang'oa meno watawala inabidi tubadilishe sheria hiyo mkuuShida iliyopo hii sharia inatumika vibaya na kisiasa imeumiza watu wengi sana na ndio malalamiko ya walio wengi.
Kwanini watunge sheria kunyima watu dhamana? Dhambi hiyo imawarudia na kuwatafuna wenyewekwa hiyo kama alishiriki kutunga basi ndio abambikiziwe kesi ya Uongo?
sh*t
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Shetan hajawahi mushinda MUNGUShetani si wa kumpuuza
Muosha huoshwaZitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Ukitaka kupambana na serikali hakikisha upo msafi maeneo yote
Analalamikia sheria ya money laundering wakati ni yeye ndio alietunga,nakumbuka alikua anasimama kila dakika kurekebisha sentensi,koma na nukta ili hao aliowaita mafisadi wasitoke salama
Naam mchimba kaburi anaingia mwenyewe sasa
Weken kavideo basNilimsikia kwa masikio yangu maana wakati huo bunge likirushwa live, akishadidia kupitishwa kwa hii sheria ya utakatishaji mwenyewe akisema ni muhimu ili kuzuia "wapigaji" na "upigaji"
Zitto Kabwe alalamikie mambo mengine naweza kumuunga mkono, lakini kwa kupitishwa na kutumika kwa sheria hii awe mpole tu, kwani alidhani anamtungia nani?
Kwani mwili wake risasi hazipiti?Huyu baba Kama tumemshindwa tumkabidhi kwa Mungu basi
When I back! Kama hujui kiingereza si uache tu
Zito anajaribu kuhisi yatakayo tokea Na Kaona Hilo ndilo litakalompiga.... Kwa kifupi he is just guessing
Shetani haaminiki- Alimdanganya Eva kuwa utakuwa na akili sawa na Mungu akila yale matunda ya ufahamu
Mbona iko wazi sana ![QUOTE="Erythrocyte, post: 34307124, member: 1092
Kwa maneno hayo tunachelea kuamini ya kwamba baadhi ya watu wenye kesi za uhujumu uchumi pengine ilitokana na hali Kama hii ya kwenda kinyume na fikra za bwana mkubwa
Huyu Zitto anaweza kuwa kawa kichaa maana kila kukicha maneno meeengi ya kulalamika tu