Zitto Kabwe Mtegoni

Zitto Kabwe Mtegoni

Ana kesi ya ML tangu enzi za JK, mnakumbuka chama chake mfu cha CHADEMA waliwahi kuleta ushahidi wa transfer ya hela from German kupitia WMU? So atulie tu maana aliwatumia wazee uchwara kuitisha serikali (yaani kajiona yeye ndiye bora kabisa kuzidi watanzania mil 50 plus). Zito kichwani mwake kuna tatizo huenda ni moja ya wale 1%
Kwa hiyo kesi ndio mmeamua mumfungulie leo baada ya muda wote huo?[emoji16]

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
kwa hiyo kama alishiriki kutunga basi ndio abambikiziwe kesi ya Uongo?

sh*t

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Kwanini watunge sheria kunyima watu dhamana? Dhambi hiyo imawarudia na kuwatafuna wenyewe
 
Zitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Ukitaka kupambana na serikali hakikisha upo msafi maeneo yote
Analalamikia sheria ya money laundering wakati ni yeye ndio alietunga,nakumbuka alikua anasimama kila dakika kurekebisha sentensi,koma na nukta ili hao aliowaita mafisadi wasitoke salama
Naam mchimba kaburi anaingia mwenyewe sasa
Muosha huoshwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimsikia kwa masikio yangu maana wakati huo bunge likirushwa live, akishadidia kupitishwa kwa hii sheria ya utakatishaji mwenyewe akisema ni muhimu ili kuzuia "wapigaji" na "upigaji"

Zitto Kabwe alalamikie mambo mengine naweza kumuunga mkono, lakini kwa kupitishwa na kutumika kwa sheria hii awe mpole tu, kwani alidhani anamtungia nani?
Weken kavideo bas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="Erythrocyte, post: 34307124, member: 1092
Kwa maneno hayo tunachelea kuamini ya kwamba baadhi ya watu wenye kesi za uhujumu uchumi pengine ilitokana na hali Kama hii ya kwenda kinyume na fikra za bwana mkubwa
 
Sitaki kuamini Zito kafanya a very technical mistake in his political career.

Kwenda kinyume Na Ustawi wa Taifa lake.
 
Mkuu wewe unakijua kiingereza vizuri? Kama ndiyo mrekebishe wewe unayekijua basi. Yaani mtu aki skip herufi au neno moja ndiyo tayari hajui kiingereza? Haya mambo ndiyo yanayo letelezea watu kufikiri kujua kiingereza ndiyo kuelimika au kuwa msomi. Mbona Msema kweli ni mpenzi wa Mungu ni Dr lakini hajui kiingereza vizuri zaidi ya kisukuma. Ina maana yeye siyo miomi?!
When I back! Kama hujui kiingereza si uache tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="Erythrocyte, post: 34307124, member: 1092
Kwa maneno hayo tunachelea kuamini ya kwamba baadhi ya watu wenye kesi za uhujumu uchumi pengine ilitokana na hali Kama hii ya kwenda kinyume na fikra za bwana mkubwa
Mbona iko wazi sana !
 
Back
Top Bottom