imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Haogopi wala hajambi jambi anatahadharisha ummaZitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haogopi wala hajambi jambi anatahadharisha ummaZitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Sure....Anajistukia tu, wameona wamempuuzia na hawana habari nae.
Alifanya hivyo kwa nia nzuri na sheria, kila nchi ina money laundering laws, sheria inapaswa kutumika kihalaliZitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Ukitaka kupambana na serikali hakikisha upo msafi maeneo yote
Analalamikia sheria ya money laundering wakati ni yeye ndio alietunga,nakumbuka alikua anasimama kila dakika kurekebisha sentensi,koma na nukta ili hao aliowaita mafisadi wasitoke salama
Naam mchimba kaburi anaingia mwenyewe sasa
Anajistukia tu, wameona wamempuuzia na hawana habari nae.
Zitto anacholalamika ni hiyo sheria kutumiwa vibaya kwake! Kama sheria haina shida kama itatumiwa vizuri eg sheria inakataza mtu kuiba, hiyo hiyo sheria naweza kutumika vibaya kwa kumsingizia mtu ni mwizi! Sijui kuna shida gani kuelewa hapo!Nilimsikia kwa masikio yangu maana wakati huo bunge likirushwa live, akishadidia kupitishwa kwa hii sheria ya utakatishaji mwenyewe akisema ni muhimu ili kuzuia "wapigaji" na "upigaji"
Zitto Kabwe alalamikie mambo mengine naweza kumuunga mkono, lakini kwa kupitishwa na kutumika kwa sheria hii awe mpole tu, kwani alidhani anamtungia nani?
Ndugu yangu Watanzania wote ni kama haya magari tunayoagiza kutoka Japan. Traffic police akiamua kukukagua kikamilifu lazima atakupata na makosa tu. Leo hii kwa life style ya watu wengi wa vipato vya kati na vya juu na viongozi wa kisiasa wakiwemo ukiamua kuwachunguza nyendo zao na vyanzo vya mapato yao lazima utawapata na dosari ya aina moja ama nyingine. Sasa kama kuna faini ya elfu thelathini kwa kila kosa la barabarani lazima ikuhusu na wewe hata kama kosa lako lilikua limejificha na sheria umeitunga mwenyeweZitto anacholalamika ni hiyo sheria kutumiwa vibaya kwake! Kama sheria haina shida kama itatumiwa vizuri eg sheria inakataza mtu kuiba, hiyo hiyo sheria naweza kutumika vibaya kwa kumsingizia mtu ni mwizi! Sijui kuna shida gani kuelewa hapo!
Mi nadhani sheria iko sawa kama ikitumiwa vizuri!Ndugu yangu Watanzania wote ni kama haya magari tunayoagiza kutoka Japan. Traffic police akiamua kukukagua kikamilifu lazima atakupata na makosa tu. Leo hii kwa life style ya watu wengi wa vipato vya kati na vya juu na viongozi wa kisiasa wakiwemo ukiamua kuwachunguza nyendo zao na vyanzo vya mapato yao lazima utawapata na dosari ya aina moja ama nyingine. Sasa kama kuna faini ya elfu thelathini kwa kila kosa la barabarani lazima ikuhusu na wewe hata kama kosa lako lilikua limejificha na sheria umeitunga mwenyewe
Kwanini mtunge sheria ya kuwanyima watu dhamana wakati kesi zinaendelea huku hata uchunguzi haujakamilika? Zitto na wenzake walipokua wanaitunga hii hawakujua kua wanatengeneza mtego wa panya ambao wanaweza kuingia na wao pia na kwamba kuna watu wataumizwa nayo?
Tupiganie kurekebishwa na kuondolewa kwa sheria hii na ile ya ugaidi kwasababu ni sheria mbaya, sio kwa sababu safari hii inambana Zitto Kabwe
Shetani haaminiki- Alimdanganya Eva kuwa utakuwa na akili sawa na Mungu akila yale matunda ya ufahamuShetani si wa kumpuuza
Not in Africa brother, kama alivyowahi kusema Benjamin Netanyahu kua Waafrika ukiwapa silaha wanauwana wenyewe kwa wenyewe. Hiyo sheria ni kama silaha, na kwetu huku Africa lazima tuonyeshane ubabe na tutiane adabu. Dawa ni kuirekebisha. Makosa yote yawe na dhamana. Kutakua hakuna tena kuwekana ndani bila kufikishwa mahakamaniMi nadhani sheria iko sawa kama ikitumiwa vizuri!
Mi naona hio sheria tuiache tu kama ilivyo boss,sababu kuna siku itakua ni zamu ya wana CCM ku-enjoy utamu wa hio sheria.Ndugu yangu Watanzania wote ni kama haya magari tunayoagiza kutoka Japan. Traffic police akiamua kukukagua kikamilifu lazima atakupata na makosa tu. Leo hii kwa life style ya watu wengi wa vipato vya kati na vya juu na viongozi wa kisiasa wakiwemo ukiamua kuwachunguza nyendo zao na vyanzo vya mapato yao lazima utawapata na dosari ya aina moja ama nyingine. Sasa kama kuna faini ya elfu thelathini kwa kila kosa la barabarani lazima ikuhusu na wewe hata kama kosa lako lilikua limejificha na sheria umeitunga mwenyewe
Kwanini mtunge sheria ya kuwanyima watu dhamana wakati kesi zinaendelea huku hata uchunguzi haujakamilika? Zitto na wenzake walipokua wanaitunga hii hawakujua kua wanatengeneza mtego wa panya ambao wanaweza kuingia na wao pia na kwamba kuna watu wataumizwa nayo?
Tupiganie kurekebishwa na kuondolewa kwa sheria hii na ile ya ugaidi kwasababu ni sheria mbaya, sio kwa sababu safari hii inambana Zitto Kabwe
Nilimsikia kwa masikio yangu maana wakati huo bunge likirushwa live, akishadidia kupitishwa kwa hii sheria ya utakatishaji mwenyewe akisema ni muhimu ili kuzuia "wapigaji" na "upigaji"
Zitto Kabwe alalamikie mambo mengine naweza kumuunga mkono, lakini kwa kupitishwa na kutumika kwa sheria hii awe mpole tu, kwani alidhani anamtungia nani?
Kweli umenikumbusha Jambo,Zitto hapaswi kuwa muhoga kwani ana "WAZEE WA KIGOMA".
Zitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Ukitaka kupambana na serikali hakikisha upo msafi maeneo yote
Analalamikia sheria ya money laundering wakati ni yeye ndio alietunga,nakumbuka alikua anasimama kila dakika kurekebisha sentensi,koma na nukta ili hao aliowaita mafisadi wasitoke salama
Naam mchimba kaburi anaingia mwenyewe sasa
Si awaambie Wazee wa Kigoma tu, Umma wanini na yeye anawazee.Haogopi wala hajambi jambi anatahadharisha umma
Kama kutekwa kwa CAG mstaafu ambako Zitto aliaminisha wote wasiotaka kutulia na kufikiria, wakaamini ni kweli. Mzee akaja kukana mchana kweupe kwamba amepewa.
Naiona hatari kubwa Sana mbele, acha tutengeneze visasi kitaeleweka tu
kwa hiyo kama alishiriki kutunga basi ndio abambikiziwe kesi ya Uongo?Nilimsikia kwa masikio yangu maana wakati huo bunge likirushwa live, akishadidia kupitishwa kwa hii sheria ya utakatishaji mwenyewe akisema ni muhimu ili kuzuia "wapigaji" na "upigaji"
Zitto Kabwe alalamikie mambo mengine naweza kumuunga mkono, lakini kwa kupitishwa na kutumika kwa sheria hii awe mpole tu, kwani alidhani anamtungia nani?
Tuondolee porojo na fitna zakoTunachoelewa kinachomwandama huyo kiumbe ni Laaana aliyopewa na wanaukoo. Wamemkataza asitumie jina la ukoo wao na wamemtaka atumie jina la Zitto Ruyaagwa na la kabwe lisiwepo.
Na wamepanga kumerusisha kwao inasemekana hata kabwe siyo dng wake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamaaa yamemkuta. Alikataliwa Mwezi January,2020 kwenye kikao cha Familia yake.
Kwenye kikao hicho walimweleza kuwa ni Mbinafsi, Mbishi, Haheshimu Wazee wake, Ukoo wake na amekuwa hashiriki misiba ya ndugu zake labda yenye Maslahi kisiasa kwake.
wewe ni mke wake Zitto?Sesten Zakazaka,
Ndugu zake Zitto Kabwe wanajua uhuni wake mpaka wamemtenga kifamilia wewe ni nani ambaye kutwa unampamba wakati hujui hata kitofu chake kilipotumwa. Nakushauri muulize Zitto yaliyomkuta Mwandiga. Nitapost special thread