Zitto Kabwe na ujumbe wake watua Ulaya, shughuli imeanza rasmi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
FB_IMG_1580204642131.jpg

Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .

Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
 
View attachment 1338320

Yale yale ya Maalim sefu Alienda Marekani
Akaishia kujipigia tupicha ukumbini
Upinzani wa tanzania
Aliye waroga kisha kufa na dawa yake
Full Kucheza na Akili za Vibendera wao hovyo
 
OK noted

Tuache ushabiki kwa waliosoma zamani, Hivi lini mwanafunzi aliyepata mimba alirudi darasani tukasoma nae tena, Wengi waliacha kimya kimya

Mambo yalikuwa kimya kimya Sana, Tatizo la sasa watoto wanajua kuoga na kupendeza mambo ya Dot. COM Haya

Wanafunzi wanajipenda na kupendeza kuliko Mama zao wanaowalipia ada Unategemea boga litabaki boga lazima ua lipendwe

Serikali ikishapitisha sheria rasmi wengi watatoa ahadi kuwalipia ada hao wanafunzi
View attachment 1338320

Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .

Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
 
Yale yale ya Maalim sefu Alienda Marekani
Akaishia kujipigia tupicha ukumbini
Upinzani wa tanzania
Aliye waroga kisha kufa na dawa yake
Full Kucheza na Akili za Vibendera wao hovyo
Huyu ni mtu mwingine. Ameanza na mkopo wa WB ambao Meko alitaka kutumia kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu 2020.

Sasa anakamilisha taratibu za kumburuza (Meko) kule the Hague.
Mwaka huu mnae, dadadeki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1338320

Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .

Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
Ikiwa pamoja na kuunga mkono na kutetea haki za mashoga LGBT ! Malizia hivyo bhanaaa!
 
Hao watu wasiozidi 10 sio viongozi bali ni jumuiya kwa ujumla wake ya watanzania nchini Uingereza ambao wengi ni "Wapemba waliojilipua"!

Kwa kukusaidia, Jumuiya ya watanzania nchini Uingereza kwa ujumla ni wanaCCM ndio maana waliohudhulia hawafiki hata 10!

Huoni hata ukumbi mzuri wameshindwa kukodi badala yake wanafanyia mkutano kwenye one bedroom ya Council house/Housing Association!

By the way, hivi ziara za Maalim Seif ziliishia wapi?

Ama kweli ukitaka kusikia tena kichekesho hiki andika message ''Zitto UK'' na utume kwa ACT-Wazalendo!
 
January 25, 2020
Cheki vyama vya 'upinzani' waliochini ya mbawa za CCM Mpya wanavyotoka mapovu juu ya vyama makini vya upinzani
 
Ukitaka kusikia tena kichekesho hiki andika message na utume kwa ACT-Wazalendo!

Hao watu wasiozidi 10 sio viongozi bali ni jumuiya ya watanzania nchini Uingereza ambao wengi ni "Wapemba waliojilipua"!

Kwa kukusaidia, Jumuiya ya watanzania nchini Uingereza kwa ujumla ni wanaCCM!
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom