Zitto Kabwe na ujumbe wake watua Ulaya, shughuli imeanza rasmi

Zitto Kabwe na ujumbe wake watua Ulaya, shughuli imeanza rasmi

Childish mentality. Hakuna anayetisha watu yeye akabaki salama. Akina Samuel Doe, Muamar Gaddafi, Saddam Hussein (Rip) laiti kama wangekuwepo, wangetupa ushuhuda, tena mzuri tu.

History is not on the side of those tyrants who live by the sword, refer Matthew 26:52
Jifariji tu mkuu!
 
Raha ya kutawala hata kama unaiba kura ni kukidhi matarajio ya hao unaowaibia kura lkn kama unatawala huku unategemea kutembeza bakuli hata wewe hutaona raha ya huo wizi wako wa kura.

Na hata ukistaafu, ulinzi mkali ulionao itabidi uwe nao perennially hata kama unaenda maliwatoni kwani hutaacha kuishi kwa guilt conscience.
Endelea kujifariji na Saccos yako walikuwepo NCCR nao walikuwa wanasema hivyo hivyo sasa hata watz hawana habari nao!
 
Endelea kujifariji na Saccos yako walikuwepo NCCR nao walikuwa wanasema hivyo hivyo sasa hata watz hawana habari nao!
Hata Kanu, Unip na UPC nao kuna kipindi waliongea hayo labda ulikuwa bado mdogo lkn leo hawana tena fursa ya kuongea.
 
Back
Top Bottom