Zitto Kabwe na ujumbe wake watua Ulaya, shughuli imeanza rasmi

Mbowe alikuwa sahihi kumtimua kwenye chama chake. Na bila shaka Maalim Seif atamfanyizia kama alivyomfanyizia Lipumba punde si punde!
 
Upuuzi mtupu!!!!!!

Ni mbumbumbu pekee atashabikia uharomaji uliouandika humu

Hivi ulishawahiona marekani ,Canada,australia,Sweeden Denmak n.k wanakuja nchi yoyote ya Afrika kuanika nyuchi zao na mambo yao ya ndani?

Au unataka kutuaminisha kwamba wao ni watakatifu?

Black Americans hawanyanyaswi Marekani?

Uingereza na washirika wao hawapangi vamizi za kuwaua mamilioni ya raia kote duniani?

Hawaibi mafuta nchi za kiarabu?

Au bado mnaamini kama mlovyoaminishwa kwamba wao ni "HE" na nyie ni "SHE" country hivyo mnaenda kwa waumezenu?

Hamna tofauti na jike shupa lililoolewa kisha kutwa nzima linashinda mtaani kuwaelezea vijana wa bodaboda namna ambavyo mumewe hamfikishi kisawasawa...... bado mnashabikia?

Kama ndivyo sawa nhoja niishie hapo nisijenikaingilia mambo yenu ya ukewenza

NB//
Hivi tujikumbushe yule aliyeamua kuianika marekani bwana Edward, S anayeishi uhamishoni kwa sasa na jinsi wamarekani wanavyohaha kumtafuta yeye au kichwa chake whether died or alive halafu sisi tunachukulia poa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1338320

Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .

Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
Mbona kama geto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu mbariki Zito Kabwe

Ameaga kwa Mh Supika? mjulisheni bunge nalo limeanza!!
 
Huyu ni mtu mwingine. Ameanza na mkopo wa WB ambao Meko alitaka kutumia kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu 2020.

Sasa anakamilisha taratibu za kumburuza (Meko) kule the Hague.
Mwaka huu mnae, dadadeki!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanahaha walitaka pesa za kampeni washenzi hawa, yaani huko kwenye elimu wangeyoa nusu nusu wakaipiga kwani Yule mzee mjumbe wa WB pale wizara ya fedha ilikuwaje akakutwa kafa??
 
January 20, 2020
Cheki vyama vya 'upinzani' waliochini ya mbawa za CCM Mpya wanavyotoka mapovu juu ya vyama makini vya upinzani

Njaaa mbaya sana. Cheki wanavyotumika eti nao ni wapinzani.
 
View attachment 1338320

Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .

Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
Lisu alifanya hivi hivi mwaka jana na baada ya hapo wahisani wakaendelea kushirikiana ba serikali ya Tanzania! Zitto lengo lake ni kuipiku CHADEMA kimataifa na wala sio serikali ! Kwa hiyo akina Mbowe ndio wanaotakiwa kuingia hofu kuu !
 
View attachment 1338320

Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .

Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
Amuulize seif kama mbinu hizo zinafaa au anapote muda tu na kutafuta uhasama na watanzania. Asifikiri watanzania wanataka demokrasia ya kuruhusu ushoga na wananchi kulumbana huku rasilimali zao zinazolewa na wageni. Wananchi wanataka maendeleo sio huo upuuzi kina zito na lissu wanapigania kwa niaba ya mabeberu ili kuwazubaisha wananchi.
 
Wamuache tu aongee huko harafu uchaguzi si mwaka huu apigwe tu kata funua
 
Back
Top Bottom