Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yale yale ya Maalim sefu Alienda MarekaniView attachment 1338320
Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .
Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
View attachment 1338320

ondoa shaka mkuuMh mbona jengo lenyewe kama wako bongo ni ulaya hapo?
Huyu ni mtu mwingine. Ameanza na mkopo wa WB ambao Meko alitaka kutumia kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu 2020.Yale yale ya Maalim sefu Alienda Marekani
Akaishia kujipigia tupicha ukumbini
Upinzani wa tanzania
Aliye waroga kisha kufa na dawa yake
Full Kucheza na Akili za Vibendera wao hovyo
Sawa Mpiga lamliHuyu ni mtu mwingine. Ameanza na mkopo wa WB ambao Meko alitaka kutumia kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu 2020.
Sasa anakamilisha taratibu za kumburuza (Meko) kule the Hague.
Mwaka huu mnae, dadadeki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh mbona jengo lenyewe kama wako bongo ni ulaya hapo?
Ikiwa pamoja na kuunga mkono na kutetea haki za mashoga LGBT ! Malizia hivyo bhanaaa!View attachment 1338320
Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .
Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
Wewe bwana wako ni polepole ndio anayekutuma kukashifu watu mitandaoni? Unajidhalilisha kwa buku saba.hope watapata mabwana heko waishi huko kama wengine waliowatangulia kwenda ulaya kutibiwa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππUkitaka kusikia tena kichekesho hiki andika message na utume kwa ACT-Wazalendo!
Hao watu wasiozidi 10 sio viongozi bali ni jumuiya ya watanzania nchini Uingereza ambao wengi ni "Wapemba waliojilipua"!
Kwa kukusaidia, Jumuiya ya watanzania nchini Uingereza kwa ujumla ni wanaCCM!
Wewe ni nani ?Zitto 2020 hatorudi bungeni never, huyu jamaa akiondolewa bungeni lazma atafute nchi ya kukimbikia kama mkimbizi wa kisiasa...
Sent using Jamii Forums mobile app