CCM haitegemei hizo dollar 8.5 M kufanya kampeni zake mkuuHuyu ni mtu mwingine. Ameanza na mkopo wa WB ambao Meko alitaka kutumia kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu 2020.
Sasa anakamilisha taratibu za kumburuza (Meko) kule the Hague.
Mwaka huu mnae, dadadeki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni Mbezi kwa MsuguriMh mbona jengo lenyewe kama wako bongo ni ulaya hapo?
Hapo ni Mbezi kwa Msuguri
Mbona kama geto?View attachment 1338320
Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .
Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
View attachment 1338320

Ameaga kwa Mh Supika? mjulisheni bunge nalo limeanza!!View attachment 1338320
Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .
Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
Shaka bado lipo. Huyu si ulikuwa unamuita Mamluki!ondoa shaka mkuu
Wanahaha walitaka pesa za kampeni washenzi hawa, yaani huko kwenye elimu wangeyoa nusu nusu wakaipiga kwani Yule mzee mjumbe wa WB pale wizara ya fedha ilikuwaje akakutwa kafa??Huyu ni mtu mwingine. Ameanza na mkopo wa WB ambao Meko alitaka kutumia kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu 2020.
Sasa anakamilisha taratibu za kumburuza (Meko) kule the Hague.
Mwaka huu mnae, dadadeki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaaa mbaya sana. Cheki wanavyotumika eti nao ni wapinzani.January 20, 2020
Cheki vyama vya 'upinzani' waliochini ya mbawa za CCM Mpya wanavyotoka mapovu juu ya vyama makini vya upinzani
Mhutu ashughulikiwe mpaka arudi kwao.
[/Q
Mhutu niyule mwenyekiti wako!Ulizia watu wa Kakonko wakuambie vizuri
Lisu alifanya hivi hivi mwaka jana na baada ya hapo wahisani wakaendelea kushirikiana ba serikali ya Tanzania! Zitto lengo lake ni kuipiku CHADEMA kimataifa na wala sio serikali ! Kwa hiyo akina Mbowe ndio wanaotakiwa kuingia hofu kuu !View attachment 1338320
Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .
Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
Hahaaa picha na maktaba! [emoji16]Mh mbona jengo lenyewe kama wako bongo ni ulaya hapo?
Amuulize seif kama mbinu hizo zinafaa au anapote muda tu na kutafuta uhasama na watanzania. Asifikiri watanzania wanataka demokrasia ya kuruhusu ushoga na wananchi kulumbana huku rasilimali zao zinazolewa na wageni. Wananchi wanataka maendeleo sio huo upuuzi kina zito na lissu wanapigania kwa niaba ya mabeberu ili kuwazubaisha wananchi.View attachment 1338320