Zitto Kabwe na ujumbe wake watua Ulaya, shughuli imeanza rasmi

Unakili kuna uonevu kwa Maelezo yako
 
Lisu alifanya hivi hivi mwaka jana na baada ya hapo wahisani wakaendelea kushirikiana ba serikali ya Tanzania! Zitto lengo lake ni kuipiku CHADEMA kimataifa na wala sio serikali ! Kwa hiyo akina Mbowe ndio wanaotakiwa kuingia hofu kuu !
kuna kitu hukijui kuhusu haya mambo , endelea kubaki hapa hapa jf
 
Ulaya ndio nchi gani? Mgonjwa kazunguuuuka mwisho kaona atateguka shingo na hajaambulia chochote kaufyata.
 
Sema nyinyi wasaliti mbona unajifichaficha. Ameenda kwa mabwana zake ameona hapa TZ hawana mpango naye! Naomba October ije mapema tumalizane naye huyu! Tumeshamchoka!
 
Swala ni kuwa serikali ni lazima iheshimu haki za binadamu. Huwezi kwenda kwa watu wastaarabu kutembeza bakuli wakati hao unaojidai kuwaombea unawanyanyasa.

Ni wajinga tu wanaonufaika na mfumo kandamizi wanaoshabikia huu uhayawani.

Hata mfalme ndio ikionekana kuwa uwepo wake kwenye jahazi ndio unasababisha chombo kitake kuzama automatically anakuwa jettisoned ili kuokoa abiria walio wengi. Our present situation suits that analogy.
 
Mkuu, hivi wakiwa huko ulaya watafike mpaka Ubeleji kukutana na kamanda msaliti?
 
Hopeless comment! Subiri baada ya October utajua na wewe ukileta cha kuleta utajua kama maharage ni mboga!
Ya October uyajue wewe ni nani, labda huyo unayemtegemea asiwepo humu duniani, alikufa King George sembuse hao kaluganzila.
 
Acha wakajipendekeze kwa bwana zao
eti mtu Kama Zitto anatamani kuwa Rais !!!! Labda Rais wa Ujijji
 
Ya October uyajue wewe ni nani, labda huyo unayemtegemea asiwepo humu duniani, alikufa King George sembuse hao kaluganzila.
Haijalishi nani atakuwepo! Jiandaa kisaikolojia mkuu!
 
Yale yale ya Maalim sefu Alienda Marekani
Akaishia kujipigia tupicha ukumbini
Upinzani wa tanzania
Aliye waroga kisha kufa na dawa yake
Full Kucheza na Akili za Vibendera wao hovyo
Kumbe ulitaka waanzishe uasi wa misituni wastaarabu tunajua vita haileti amani ya kudumu mageuzi ya kweli ni ushawishi wa hoja sio ubabe wala vitisho
 
Haijalishi nani atakuwepo! Jiandaa kisaikolojia mkuu!
Raha ya kutawala hata kama unaiba kura ni kukidhi matarajio ya hao unaowaibia kura lkn kama unatawala huku unategemea kutembeza bakuli hata wewe hutaona raha ya huo wizi wako wa kura.

Na hata ukistaafu, ulinzi mkali ulionao itabidi uwe nao perennially hata kama unaenda maliwatoni kwani hutaacha kuishi kwa guilt conscience.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…