Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Will never ever happen🤔.Kwa kuwa tinajua ni full maigizo , full michongo.That will never happen.
Kamanda usiwe na imani haba.That will never happen.
Kama kuna raia mwema alimtonya Zitto juu ya kuchoma shamba lake na nyumba yake kuwa ulikuwa mpango wa lile kundi la wasiojulikana basi sasa ndio kipindi muafaka cha kuwaumbua hawa watu
Zitto naye ahojiwe kama Askofu Mwingira ili aweke mambo hadharani maana tuhuma.zao zinafanana kabisa.
Huu ndio wakati wa kuweka mabo hadharani ili kupata ukweli.

Zitto kasema Magufuli alituma watuWakati wa kampeni, Lissu alisema ni Magufuli.Au wewe haumwamini Lissu?
Kamanda mchovu tinajua Imani Yako ni ya rangi mboga mboga na matawi yake, Sasa unavyoongelwa habari ya vipatikanavyo jangwani unatishangaza inakuwaje kutoka kwenye Yale ya kwenye chemichemi Hadi Yale ya kwenye jangwa.Kamanda usiwe na imani haba.
Mimi sio wa hivyo.Kamanda mchovu tinajua Imani Yako ni ya rangi mboga mboga na matawi yake, Sasa unavyoongelwa habari ya vipatikanavyo jangwani unatishangaza inakuwaje kutoka kwenye Yale ya kwenye chemichemi Hadi Yale ya kwenye jangwa.
Zitto kasema Magufuli alituma watu
Ahojiwe Zito Kabwe au Ndugai??? Mbona mnapenda kuonea watu wasio na makosa,siasa hizi zinatupeleka kubaya.Kama kuna raia mwema alimtonya Zitto juu ya kuchoma shamba lake na nyumba yake kuwa ulikuwa mpango wa lile kundi la wasiojulikana basi sasa ndio kipindi muafaka cha kuwaumbua hawa watu
Zitto naye ahojiwe kama Askofu Mwingira ili aweke mambo hadharani maana tuhuma.zao zinafanana kabisa.
Huu ndio wakati wa kuweka mabo hadharani ili kupata ukweli.