Zitto Kabwe nae ahojiwe na polisi ili genge la wasiojulikana lijulikane, waliompiga Lissu risasi na waliompoteza Ben watajulikana.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kama kuna raia mwema alimtonya Zitto juu ya kuchoma shamba lake na nyumba yake kuwa ulikuwa mpango wa lile kundi la wasiojulikana basi sasa ndio kipindi muafaka cha kuwaumbua hawa watu

Zitto naye ahojiwe kama Askofu Mwingira ili aweke mambo hadharani maana tuhuma.zao zinafanana kabisa.

Huu ndio wakati wa kuweka mabo hadharani ili kupata ukweli.
 
Hakika na kwa kuwa alisema mmoja wao wa aliekuwa aliyechoma ndiye alimfata hvo hakuna budi wa kuitwa pia! Hapa ndipo tutaijua serikal yetu kama inawaficha
 
Wakati wa kampeni, Lissu alisema ni Magufuli. Au wewe haumwamini Lissu?
Kama kuna raia mwema alimtonya Zitto juu ya kuchoma shamba lake na nyumba yake kuwa ulikuwa mpango wa lile kundi la wasiojulikana basi sasa ndio kipindi muafaka cha kuwaumbua hawa watu

Zitto naye ahojiwe kama Askofu Mwingira ili aweke mambo hadharani maana tuhuma.zao zinafanana kabisa.

Huu ndio wakati wa kuweka mabo hadharani ili kupata ukweli.
 
Kamanda usiwe na imani haba.
Kamanda mchovu tinajua Imani Yako ni ya rangi mboga mboga na matawi yake, Sasa unavyoongelwa habari ya vipatikanavyo jangwani unatishangaza inakuwaje kutoka kwenye Yale ya kwenye chemichemi Hadi Yale ya kwenye jangwa.
 
Mimi sio wa hivyo.
 
Hii ni double standard.Bishop Mwingira amegusa muhimili uliojichimbia sana .Zitto yeye anagusa juu juu!
Ila namsifu sana Mwingira kuongea bila kupepesa!
 
Kama kuna raia mwema alimtonya Zitto juu ya kuchoma shamba lake na nyumba yake kuwa ulikuwa mpango wa lile kundi la wasiojulikana basi sasa ndio kipindi muafaka cha kuwaumbua hawa watu

Zitto naye ahojiwe kama Askofu Mwingira ili aweke mambo hadharani maana tuhuma.zao zinafanana kabisa.

Huu ndio wakati wa kuweka mabo hadharani ili kupata ukweli.
Ahojiwe Zito Kabwe au Ndugai??? Mbona mnapenda kuonea watu wasio na makosa,siasa hizi zinatupeleka kubaya.
 
Back
Top Bottom