The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ndio inavyotakiwa. Ili amani iwepo kila mtu anatakiwa apate. Ukitaka upate wewe na familia yako tu wengine wakose, amani itatoka wapi?Zitto katisha sana hapo tena pembeni ana buyu lake la asali ni mwendo wa kufyonza tu.
Zito ni mnafiki mkubwa, utulivu gani ameleta huku akiwa amewafunga wapinzani wake mikono na midomo?Alipozungumza kwenye mkutano wa rais amesema Rais ameleta utulivu wa kisiasa kwa nchi yetu hasa baada ya kuunda kikosi kazi.
Amesema Rais Samia ana dhamira ya dhati ya kufanya mambo makubwa kwa taifa letu, akiwaomba wananchi wampokee na kumuunga mkono.
Zitto ni zezeta, juzi kule Songea mkoani Ruvuma, ACT Wazalendo wamekataliwa kufanya mkutano kwa kisingizio kwamba mikutano na mikusanyiko yote hairuhusiwi sababu ya tishio la ugaidi, lakini jioni hiyohiyo Mwamposa akafanya mkutano mkubwa sana nanukaendelea kwa siku tatu
Hili Naro mkalitazame.Zitto ni zezeta, juzi kule Songea mkoani Ruvuma, ACT Wazalendo wamekataliwa kufanya mkutano kwa kisingizio kwamba mikutano na mikusanyiko yote hairuhusiwi sababu ya tishio la ugaidi, lakini jioni hiyohiyo Mwamposa akafanya mkutano mkubwa sana nanukaendelea kwa siku tatu
"........KILA MTU APATE........",hapa sijakuelewa na wewe humo ktk kundi la hao watu..........Ndio inavyotakiwa. Ili amani iwepo kila mtu anatakiwa apate. Ukitaka upate wewe na familia yako tu wengine wakose, amani itatoka wapi?
Unfortunately sijafanikiwa kuingia..."........KILA MTU APATE........",hapa sijakuelewa na wewe humo ktk kundi la hao watu..........
Okay nilishangaa ulivyo sema kila "........KILA MTU..........".Unfortunately sijafanikiwa kuingia...
MnafikiZitto ni zezeta, juzi kule Songea mkoani Ruvuma, ACT Wazalendo wamekataliwa kufanya mkutano kwa kisingizio kwamba mikutano na mikusanyiko yote hairuhusiwi sababu ya tishio la ugaidi, lakini jioni hiyohiyo Mwamposa akafanya mkutano mkubwa sana nanukaendelea kwa siku tatu