Zitto Kabwe: Nakushukuru Rais Samia kwa kudumisha utulivu wa kisiasa kwenye taifa letu

Zitto Kabwe: Nakushukuru Rais Samia kwa kudumisha utulivu wa kisiasa kwenye taifa letu

Zitto katisha sana hapo tena pembeni ana buyu lake la asali ni mwendo wa kufyonza tu.
Hivi wajua ?? Zitto anakula laki 3 kila siku kama posho ya kazi kwenye kikosi kazi alichounda mhe rais kinachoongozwa na prof. Mukandara.
 
Hivi wajua ?? Zitto anakula laki 3 kila siku kama posho ya kazi kwenye kikosi kazi alichounda mhe rais kinachoongozwa na prof. Mukandara.
Kama ndo hivo haya ni matumizi mabaya ya kodi
 
kudumisha utulivu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Lingekuwa ni jambo la Busara sana mkaisikilize Hotuba ya Mwami ndio mje kuishutumu.
 
Alipozungumza kwenye mkutano wa rais amesema Rais ameleta utulivu wa kisiasa kwa nchi yetu hasa baada ya kuunda kikosi kazi.

Amesema Rais Samia ana dhamira ya dhati ya kufanya mambo makubwa kwa taifa letu, akiwaomba wananchi wampokee na kumuunga mkono.
---

View attachment 2391123

"Rais wetu ana dhamira njema sana, ana maono na matamanio makubwa sana sio kwa nchi bali pia kwa Kigoma, niongee kama mwami, mama huyu hapa mpokeeni, tufanye naye kazi, tushirikiane naye tulete mabadiliko katika nchi" - Zitto Kabwe
Alafu lkesho at fyucha izi papo
 
Zitto ni zezeta, juzi kule Songea mkoani Ruvuma, ACT Wazalendo wamekataliwa kufanya mkutano kwa kisingizio kwamba mikutano na mikusanyiko yote hairuhusiwi sababu ya tishio la ugaidi, lakini jioni hiyohiyo Mwamposa akafanya mkutano mkubwa sana nanukaendelea kwa siku tatu
Nyamaume nimechelea kukuita wewe ndiye zezeta kwa sababu najua hukudhamiria. Aliyekuambia Zitto ana ulazima wa kufanya mikutano au kuona ACT inakubalika ni nani? ACT anaitumia kama chombo cha kupiga madili yake tu , huyu ahata anyimwe kufanya maikutano maisha lakini apewe anachotaka ni poa tu. Huyu siyo mwanasiasa wa kuonea Tanzania au watanzania huruma. Tumbo lake likijaa mambo hana mpango na mengine.
 
Alipozungumza kwenye mkutano wa rais amesema Rais ameleta utulivu wa kisiasa kwa nchi yetu hasa baada ya kuunda kikosi kazi.

Amesema Rais Samia ana dhamira ya dhati ya kufanya mambo makubwa kwa taifa letu, akiwaomba wananchi wampokee na kumuunga mkono.
---

View attachment 2391123

"Rais wetu ana dhamira njema sana, ana maono na matamanio makubwa sana sio kwa nchi bali pia kwa Kigoma, niongee kama mwami, mama huyu hapa mpokeeni, tufanye naye kazi, tushirikiane naye tulete mabadiliko katika nchi" - Zitto Kabwe
Chawa
 
Kwani aliikuta nchi iko vitani kwamba vyama vya upinzani vipo msituni vikipambana na mgambo wa CCM?
Aka kajamaa unafiki wake ni wa kiwango Cha chuma cha Mchuchuma na Liganga,hapo kanatengeneza Mazingira ya kurudi Bungeni.Alafu kitu hawajui Mama Msafiri hapendi sifa za kifalafala.Bure kabisa!!
 
Palipo na udhia, penyeza rupia.
hoja zijibiwe kwa hoja zisipigwe virungu.
wasomi kama wemwe ni mmoja wapo hujibu hoja, hawakurupuki na kuhitimisha mijadala. huo ni ukasuku. kasuku huitika na kuimba wimbo wowote
je na wewe ni kasuku?
 
Back
Top Bottom