Zitto Kabwe ni kibaraka wa CCM kujinasibu kuwa ana mkakati wa kuwasaisldia watanzania ni utapeli wa kisiasa

Zitto Kabwe ni kibaraka wa CCM kujinasibu kuwa ana mkakati wa kuwasaisldia watanzania ni utapeli wa kisiasa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Kibaraka wa CCM aweze kuwasaidia watu dhidi ya CCM? Haiwezekani.
👇
Screenshot_20230218-152445.jpg
 
Kibaraka wa CCM aweze kuwasaidia watu dhidi ya CCM? Haiwezekani.
👇View attachment 2521643
Wewe una akili timamu kweli, hapo umejibu hoja ya Zito ?
Tetea hoja yake au Pinga hoja yake kwa hoja sio kuleta blah blah hapa

Hivi tabia za baadhi vijana kutojibu hoja na kukimbilia attachment ni inadhirisha uwezo mdogo wa akili za vijana kujibu hoja, unahitajika msaada wa haraka kwa ajili vijana Hawa kwakeli,
 
Mtoa mada anapenda kuona siasa iliyoasisiwa CDM ambayo viongozi wanapigwa mapanga kwa kupingana hoja na mwenyekiti.
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI.
 
JF imevamiwa siku hizi...badala ya kuleta hoja mnajadili mtu!!shame on you!!
 
Back
Top Bottom