Zitto Kabwe ni Mpinzani au mpenda madaraka?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Wanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.

Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.

Tuwe makini sana na wana siasa kama hawa.
FB_IMG_1583253569637.jpeg

In God we Trust
 
Hakika mkuu huyu jamaa haeleweki kabisa, kama siyo state agent basi atakuwa ni mtafuta madaraka
Zitto sijawai na sitawai kumuamini! ni mwanasiasa janja janja na tapeli wa siasa za mageuzi.

In God we Trust
 
Mkuue.ameandika vizuri sana,labda wewe ndiyo umemuelewa vibaya,ni chama mshiriki.
 
mpigania msosi huyo!
Wanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.

Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.

Tuwe makini sana na wana siasa kama hawa. View attachment 1375687

In God we Trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na bado Tundu Lisu anaenda ACT WAZALENDO

Acha Lisu hata aende na mke wake, na hata ikiwa vipi aende ccm kabisa, sisi kwetu upinzani uko kwenye damu. Ukweli tunajua ccm hutumia nguvu zote kupambana na chama chochote cha upinzani chenye nguvu, hivyo haya yanayotokea kwa cdm hata kikitokea chama chochote kikawa na nguvu kitafanyiwa Uhuni hivyo hivyo. Uzuri sasa hivi wananchi wengi tunajitambua kuwa ccm ndio adui yetu, kwenye hilo hatukosei.
 
Kosa walilo lifanya ccm ni kuanzisha sekondari za kata, maana wanapo maliza wanakuwa tayari washajitambua na kuichukia ccm
Acha Lisu hata aende na mke wake, na hata ikiwa vipi aende ccm kabisa, sisi kwetu upinzani uko kwenye damu. Ukweli tunajua ccm hutumia nguvu zote kupambana na chama chochote cha upinzani chenye nguvu, hivyo haya yanayotokea kwa cdm hata kikitokea chama chochote kikawa na nguvu kitafanyiwa Uhuni hivyo hivyo. Uzuri sasa hivi wananchi wengi tunajitambua kuwa ccm ndio adui yetu, kwenye hilo hatukosei.

In God we Trust
 
Wanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.

Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.

Tuwe makini sana na wana siasa kama hawa. View attachment 1375687

In God we Trust
Alichoandika ni ukweli mtupu Maalim Seif kushinda Zanzibar inawezekana ila chama chochote pinzani kushinda bara haiwezekani kwa sasa. Uongo au kweli?
 
Ebu tupatie vigezo vya Maalim Seif kushinda Zanzibar, ndiyo tutaamini haya maneno yako

We mwenyewe unajua kuwa alishinda hata uchaguzi uliopita Jecha akahamisha goal, hata 2005 ilikuwa same, Wazenj wanampeda Seif na bado atagombea
 
Kwa kweli tumeanza kustukia hawa wenzetu kwa kauli zao ambazo kimsingi zinawakilisha mawazo yao
Huyo ni Zaidi ya Mpenda Madaraka kifupi yupo kazini na namuelewa vzuri Kaka yngu Pamoja na Maalim Seif watumishi kamili wa St Peter. Naomba rudia tna kauli Maalim Seif Leo Ikulu...

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Back
Top Bottom