Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Yani watu wanahangaika na Zitto kama wanatekenywa vileChadema mbona Zitto anawakondesha sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani watu wanahangaika na Zitto kama wanatekenywa vileChadema mbona Zitto anawakondesha sana?
Wanasema wananchi adui yetu ccm wakati wananchi hao hao wanaipigia kura ccm!Acha Lisu hata aende na mke wake, na hata ikiwa vipi aende ccm kabisa, sisi kwetu upinzani uko kwenye damu. Ukweli tunajua ccm hutumia nguvu zote kupambana na chama chochote cha upinzani chenye nguvu, hivyo haya yanayotokea kwa cdm hata kikitokea chama chochote kikawa na nguvu kitafanyiwa Uhuni hivyo hivyo. Uzuri sasa hivi wananchi wengi tunajitambua kuwa ccm ndio adui yetu, kwenye hilo hatukosei.
Wanasema wananchi adui yetu ccm wakati wananchi hao hao wanaipigia kura ccm!
Hizi hizi shule za kata mnazotukana kila siku kumbe zinafanya watu wajitambue?Kosa walilo lifanya ccm ni kuanzisha sekondari za kata, maana wanapo maliza wanakuwa tayari washajitambua na kuichukia ccm
In God we Trust
Mkuu chadema wanaumia sana wakiona ACT inachukua nafasi yao.Malengo makuu ya chama cha siasa ni kushika atamu,Shida iko wapi hapo kwenye andiko la zito ?,minaona hapo kalenga zaidi zanzibar.
moja kati ya mambo yataifanya ccm ikae zaidi madarakani ni upinzani kuwa wapinzani wao ndani ya vyama na nje ya vyama,katibu amuamini mwenyekiti wake,chama A kinakituhumu chama B,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusubir tuone lakini walau uhakika wa 80% kuwa seif atapiwa kura zinampa guts za kusema aliyosema.
Ila Zitto ahspakaziwa mengi jamani, alishapakaziwa kuwa alianzisha ACT akiwa anamwakilisha Lowassa ila baadae tuliona Lowassa alikoenda.
Siku Mbowe alipoenda Mwanza kwenye sherehe za Uhuru ingelikwa Zitto ndiye kaenda sijui mngesemaje, lakini Mbowe alisifiwa sana.
Sasa leo kibao kimegeuka Mbowe hajaenda Ikulu wengine wameenda basi hapo ndipo walioenda wameonekana wabaya.
Siasa za Tanzania bwana
Figisu zipo hatukatai ila lazima tukubali ukweli kwamba pamoja na hayo bado ccm wana mtaji mkubwa tu wa wapiga kura,bado wapo watu hadi leo wana mapenzi na ccm na huipigia kura.Ccm haishindi kwa kura, ccm iliyokuwa ikishinda kwa kura ni ya enzi za Nyerere wananchi wakiwa kwenye usingizi mzito. Kwa wananchi hawa tutaendelea kuona, ukatili na uhayawani wa wazi ili ccm itangazwe washindi. Mfano mrahisi wa ushindi wa ccm ni ule uchafu wa serikali za mitaa, weka idadi ya kura walizopata ccm. Ile kutoka na mabox ya kura kutoka kwenye vituo vya kura kwenda kujaza za ccm kwa uratibu wa jeshi la polisi, ndio kura za wananchi?
Kumuelewa nini?Kumbe nanyi mnamuelewa?
In God we Trust
Huyo Zitto sio wa kumuamini...msaliti huwa aaminiki kamweWanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.
Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.
Tuwe makini sana na wana siasa kama hawa. View attachment 1375687
In God we Trust
Labda ndicho Maalim alichoahidiwa ikulu.Wanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.
Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.
Tuwe makini sana na wana siasa kama hawa. View attachment 1375687
In God we Trust
Mimi tangia ashiriki kufutwa kwa fao la kujitoa sitakuja kumuamini tenaZitto sijawai na sitawai kumuamini! ni mwanasiasa janja janja na tapeli wa siasa za mageuzi.
Mbowe ni mwenyekiti wa muda wote,
Membe anakibiza ndoto yake.
Lipumba bado tu ni mwenyekiti.
Zito ni mbinafsi na kutoa taarifa zisizo sahihi.
Sasa sijui ni wapi kuna unafuu??
Binafsi naona kama hatuna wapinzani ambao wanasadia kukuza demokrasia, mimi navyoona hapa tunao wajasilia siasa, haiwezekani mtu ukawa mpinzani tu kwa zaidi ya miaka 30??
Ina maana wewe hakuna unaloona linafanyika sahihi?? Yaani unapinga tu kwa miaka 30?? Kuna tatizo mahali. Tujisahihishe.
Mbatia leo kawaaibisha wazee wa matusi.Hata wewe mramba viatu kuna sehemu unakosea maana haiwezekani kila kitu kinachofanyika lazima kina kufurahisha
In God we Trust
Kwanini tumjadili zitto nae ameamua kuandika kile alichoamua kwenye akili yake kama wewe siku zote unazoandika na wala hujadiliwi!Wanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.
Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.
Tuwe makini sana na wana siasa kama hawa. View attachment 1375687
In God we Trust
Umapanik mada ni kuhusu zitto!Acha Lisu hata aende na mke wake, na hata ikiwa vipi aende ccm kabisa, sisi kwetu upinzani uko kwenye damu. Ukweli tunajua ccm hutumia nguvu zote kupambana na chama chochote cha upinzani chenye nguvu, hivyo haya yanayotokea kwa cdm hata kikitokea chama chochote kikawa na nguvu kitafanyiwa Uhuni hivyo hivyo. Uzuri sasa hivi wananchi wengi tunajitambua kuwa ccm ndio adui yetu, kwenye hilo hatukosei.