kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hasara kubwa kwa wazazi
Afadhali aende ili shilingi yetu iweze kuipiku dola ya kimarekani
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali aende ili shilingi yetu iweze kuipiku dola ya kimarekani
In God we Trust
Leo kasusa kuweka bundle!Kwenye ukweli tutampongeza na anapo kanyaga waya tutampomda
In God we Trust
Sawa kaka...ZZK is the one and only politician who can..
Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
P
Umapanik mada ni kuhusu zitto!
UongoAlichoandika ni ukweli mtupu Maalim Seif kushinda Zanzibar inawezekana ila chama chochote pinzani kushinda bara haiwezekani kwa sasa. Uongo au kweli?
Mkuu haiingii akilini mtu unakuwa unapinga tu for 30 years. Yaani Kila utawala wewe unaupinga tu, hakuna jambo lolote unalokubali kuwa limefanyika sahihi. Lazima utakua na matatizo sio bure.Hata wewe mramba viatu kuna sehemu unakosea maana haiwezekani kila kitu kinachofanyika lazima kina kufurahisha
In God we Trust
Wanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.
Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.
Tuwe makini sana na wana siasa
Wanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.
Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.
Tuwe makini sana na wana siasa kama hawa. View attachment 1375687
In God we Trust
Hizi hizi shule za kata mnazotukana kila siku kumbe zinafanya watu wajitambue?
Aliyewaita nyumbu hakukosea kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zzk anampigania nani?? wee sema tu anapigania tumbo lake na familia yake.Mmawia;
Huna haja ya kuambiwa "Ona" ndo uamini kuwa huu ndo ukweli. Kule Zenj, hakuna yeyote awezaye kusimama hata na bebdera tu ya kijani aishinde. Ni mmoja tu naye ni Maalim. Hivyo, japo hatapewa uongozi basi ndo atakuwa mshirika kule. na hicho ndo alimaanisha Zitto kuwa tutakuwa washirika kwenye serekali mojapo.
Swali ni kuwa, We mlete hoja, uliona nini kwenye tweet ya Zitto hata kusema; Mpenda cheo huyu wala sio kupigania wananchi?? Hivi; inamaana kuwa; Zitto akigombea uongozi kwako ni kwamba anapenda madaraka?? Atapiganiaje wananchi asipoongoza?