Zitto Kabwe ni Mpinzani au mpenda madaraka?

Zitto Kabwe ni Mpinzani au mpenda madaraka?

Wapinzani naona mshaanza kushambuliana wenyewe kwa wenyewe.
Tutafika kweli?
 
Hakika mkuu huyu jamaa haeleweki kabisa, kama siyo state agent basi atakuwa ni mtafuta madaraka

In God we Trust
Hahahaaaa! Yaani Mrundi awe state agent wa Tz! Chama chenyewe cha Membe afu mtu mwenyewe sasa ndo wa fursa kila kukicha.

CHADEMA ya akina Marando walimung'amua mapema lakini haishi kuwasalimia akina TL ili tu aishi kisiasa. Kumbuka wakati ule anauza siri za Chama kwa Membe.

Tunayajua madudu mengi sana aliyofanya wakati akimtishia Dau wa NSSF ili apige noti. Hata kuishi kwake kwenye hayo maflati akiwa halipi kodi tunajua.

Unakumbuka sakata la kupewa gari na tajiri mkono?

Tunajua alivyokuwa akitegea apate uwaziri wa nishati wakati Magu alipoukwaa mjengo, afu aliponyimwa akaamua kumwaga mboga kama tunavyomuona.

Fursa za kujiunga na magenge ya wahuni kuiandikia WB hela za shule bure zisije. Hata kupiga picha na yule demu aliyechana hotuba ya Trump zote fursa.

Kile kikundi cha kisanii kwa ajili ya upigaji cha LEKATUGiTE sijui nacho alikianzisha kwa lengo la fursa.

Ona katika Chama cha Membe cheo chake ndo utajua alivyo. Kuungana na akina Seif pia haikuja kwa bahati mbaya ni mpangilio wa fursa inayokaribiana na kamari.

Huyu hajawahi kuwa na huruma na Tz hata kama mkiuana yeye kazi yake ni kupata urais. Huko kwao alishashindwa kwa sababu ya wababe wa kivita ndo maana anajaribu karata yake hapa.

Siku akiupata urais nadhani atatuamrisha kumbeba barabarani IDD Amin akasome!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zzk anampigania nani?? wee sema tu anapigania tumbo lake na familia yake.
Kwani huyo aliyeko madarakani leo anampigania nani ka si tumbo lake na familia yake?? Just call a spade a spade and not a big spoon. Msione kuleee kumbe hata hapa karibu yapo
 
Hakika mkuu huyu jamaa haeleweki kabisa, kama siyo state agent basi atakuwa ni mtafuta madaraka

In God we Trust
Kuna mwanasiasa yoyote asiekuwa mtafuta madaraka?
 
Wanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.

Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.

Tuwe makini sana na wana siasa kama hawa. View attachment 1375687

In God we Trust

Utakuwa mtu wa ajabu sana ku question uwezo, vision na objectives za zitto kwa kipindi hili ambacho IS THE ONLY PERSON ambaye kasimama kidete kama mpinzani

hao unaowataka au kuwasema wewe wako wapi? ni nani na nani???
 
Tatizo lako hujui hata kusoma, alafu wewe ndiyo ccm wanakutegemea kuwa mwana propaganda wao,

Hapo nini hakisomeki wewe Kipara?
Umeandika nini sasa unatetemeka kama umekula mali za marehemu!

In God we Trust
 
Zitto tumesha mstukia kuwa ni state agent. Hilo halina ubishi na anatanguliza tumbo lake na siyo kuwapigania watanzania
Utakuwa mtu wa ajabu sana ku question uwezo, vision na objectives za zitto kwa kipindi hili ambacho IS THE ONLY PERSON ambaye kasimama kidete kama mpinzani

hao unaowataka au kuwasema wewe wako wapi? ni nani na nani???

In God we Trust
 
Zitto tumesha mstukia kuwa ni state agent. Hilo halina ubishi na anatanguliza tumbo lake na siyo kuwapigania watanzania

In God we Trust

Mkuu weka evidence, otherwise wewe ndie ccm

Kuna ugumu gani unapoongea kwa uhakika kuweka evidence? Wewe adui yake?

Unajisikiaje mtaani ukisikia waberoya anatoka na mama yako kisha ukaambiwa leo mimi ni baba yako? Uta confirm tena kwa DNA, maana huyo anaweza hata akawa hana uhakika kama ni mimi au mwingine kuwa nani.. baba yako
 
Tusha mstukia pandikizi lenu dadeeeki
Utakuwa mtu wa ajabu sana ku question uwezo, vision na objectives za zitto kwa kipindi hili ambacho IS THE ONLY PERSON ambaye kasimama kidete kama mpinzani

hao unaowataka au kuwasema wewe wako wapi? ni nani na nani???

In God we Trust
 
Unajisikiaje mtaani ukisikia waberoya anatoka na mama yako kisha ukaambiwa leo mimi ni baba yako? Uta confirm tena kwa DNA, maana huyo anaweza hata akawa hana uhakika kama ni mimi au mwingine kuwa nani.. baba yako
Mkuu Waberoya, mifano mingine siyo, ni ya udhalilishaji!. Unamaanisha nini kumuuliza Mmawia atajisikiaje akisikia Waberoya anatoka na mama yake Mmawia?!. Kisha leo ndio Mmawia akaambiwa Waberoya ndio baba yake!, Hivyo unamuuliza Mmawia kama atataka kuthibitisha kwa DNA kama ni kweli wewe Waberoya ndio baba yake au sio!. Mifano gani hii?!.

Kiafrika na Kutanzania ni polygamous societies since time immemorial, hata kama unajijua umezaliwa na mama yako, lakini kila mke wa baba yako ni mama!. Kwa wenzetu Wazungu wao ni society ya mke mmoja hivyo mwanamke mwingine yoyote wa baba ni mistress na sio mama.

Lakini tukija kwa upande wa mama, unless ulilelewa na a single mother, hivyo mwanaume yoyote anayetoka na mama yako, ni baba yako, hata kama ni ki benten, na kama mama yako hakuwahi kukuonyesha baba yako ni nani, then mwanaume yoyote atakaye kuambia ni baba yako, then ni baba yako!, huhitaji DNA kuthibitisha hilo.

Zitto Zuberi Kabwe, kwa sasa, ndiye the one and only opposition person mwenye the ability and the capabilities to challenge the political status quo iliyopo, he just needs the capacity, wala hili halihitaji any proof to see it!.
P
 
Back
Top Bottom