Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Waberoya, ni siku nyingi sana nimegundua kuwa humu jukwaani, ni watu wachache sana wana uwezo kwa kuona vision na objectives za watu wenye uwezo kama wa Zitto. Zitto ni levels za Prof. Kitila Mkumbo, ni a real and a true political strategist.Utakuwa mtu wa ajabu sana ku question uwezo, vision na objectives za zitto kwa kipindi hili ambacho IS THE ONLY PERSON ambaye kasimama kidete kama mpinzani
hao unaowataka au kuwasema wewe wako wapi? ni nani na nani???
Chadema walipomfukuza Kitila na Zitto, niliwaeleza humu kuwa hawana watu wa caliber hiyo ndani yao hivyo they are going to suffer, hawakuamini. Sasa Zitto Kabwe asipogombea urais, yeye ndie anakwenda kuwa KUB katika Bunge lijalo na ACT ndio kinakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Chadema is going to be reduced to nothing!.
Kuna Uwezekano CHADEMA Inaelekea Kwishney? Zitto amebadili Online Trend...
P