Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ila kipanya Hana adabu anamwonea sana mzee wetu [emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapokea kila taarifa halafu tutachujaWakuu huenda hamtamsikia tena Zitto akikosoa Serikali tukufu na kama atakosoa basi ni ile kosoa ya juu juu ambayo hata wana CCM wanazifanya.
Ni kwamba hilo ni moja ya sharti kuu walio pewa pale Ikulu ili basi waweze kupata pesa za kusimika wagombea nchi nzima.
Inadaiwa muda sio mrefu Zitto ataandika barua kwenda Benki ya Dunia kwamba kwa sasa wanaweza endelea na mchakato wa kutoa mkopo kwa Tanzania.Hii ilizungumzwa pia Ikulu.
Pia Zitto kaambiwa akae mbali mno na mtu anaye ita Tundu Lisu, hivyo usitarajie tena kusikia Zitto akimuongelea Lisu kwa mazuri.
Mjumbe hauwawi.
Na minyukano ndio itaanzia hapo, wameshaanza kuwaambia wale wote waliotoka upande wa pili akina waitara watafute kazi nyingine za kufanya, ile mizee yenye chama imesema imechoshwa na uzurumati wa mwenyekiti wa taifaccm chaguzi hizi watapata tabu sana.maana mastermimd wao nguli wote wamepigwa chini.hawa wasasa vichwa maji yaani kamaukiangalia chaguzi za maludio na za serikali za mitaa utaona utumbilli wao.ccm inakuja sambalatika kwenye chaguzi zao za chama nani apite na nani asipite.lazima mtalikia hili neno "SISI WAZAWA NYINYI WAKUJA" hapo ndio balaa litaanza.
Na hao wakuja hawata kubali,maana wameletwa na m/kiti.hii movie itakuwa tamu sana.ndio maana yeye mwenyewe kajisafishia njia mapema hataki pulukushani za mgombea mwenza isije kitumbua kikaingia mchanga bure.Na minyukano ndio itaanzia hapo, wameshaanza kuwaambia wale wote waliotoka upande wa pili akina waitara watafute kazi nyingine za kufanya, ile mizee yenye chama imesema imechoshwa na uzurumati wa mwenyekiti wa taifa
Kule Misri zama hizo mfalme alifanya maamuzi kwa kuongozwa na waganga.Tunapokea kila taarifa halafu tutachuja
Yote yanawezekana.Wakuu huenda hamtamsikia tena Zitto akikosoa Serikali tukufu na kama atakosoa basi ni ile kosoa ya juu juu ambayo hata wana CCM wanazifanya.
Ni kwamba hilo ni moja ya sharti kuu walio pewa pale Ikulu ili basi waweze kupata pesa za kusimika wagombea nchi nzima.
Inadaiwa muda sio mrefu Zitto ataandika barua kwenda Benki ya Dunia kwamba kwa sasa wanaweza endelea na mchakato wa kutoa mkopo kwa Tanzania.Hii ilizungumzwa pia Ikulu.
Pia Zitto kaambiwa akae mbali mno na mtu anaye ita Tundu Lisu, hivyo usitarajie tena kusikia Zitto akimuongelea Lisu kwa mazuri.
Mjumbe hauwawi.
Ila kipanya Hana adabu anamwonea sana mzee wetu [emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
UMEONA MATAKATAKA EHUpinzani badala ya kuungana..mnaanza porojo tena....?!
Maalimu Seif kushinda sio lazima na ndio maana Zitto ameandika "kama Chama Kiongozi au Chama Kishiriki"! Alichomaanisha Zitto ni kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar Toleo la Mwaka 2010,ambalo linasema kila chama chenye Wawakilishi angalau 5% basi kinaingia kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SMZ)! Na kwa mujibu wa toleo husika, SMZ itakuwa na Makamu wawili; wa kwanza kutoka Upinzani wenye Wawakilishi wengi na Makamu wa Pili atatoka Chama Tawala ingawaje Makamu wa Pili ndie mwenye mamlaka zaidi kulinganisha na wa kwanza. Hicho ndicho alichomaanisha Zitto ambacho, yeye kama mtu wa Bara hana faida nacho KIMADARAKA zaidi ya tu ya ACT kuwa na uhakika wa Wawakilishi na Wabunge kutoka Znz; hususani Pemba!
Kauli hii ya Zitto kwangu naiona ni kama kauli ya kuipa changamoto Upinzani upande wa Bara manake kwa hali ilivyo, ukweli ni kwamba ni ngumu upinzani kushinda manake hailekei kama CCM wapo tayari kuona jambo hilo likitokea! Kule Pemba, imeshathibitika hata wafanye vp CCM hawana ubavu wa kuiba kura za Wabunge na Wawakilishi manake hata ukisimamisha Tofali na Mgombea wa CCM, Wapemba watalipigia kura tofali.
Unajitia kidole halafu unanusaHapo ajabu iko wapi?
Kwani Zitto ni baba yangu?
In God we Trust