Zitto Kabwe ni Mpinzani au mpenda madaraka?

Nimekuelewa, sasa unataka kutwambia kuwa wale walio agiza hayo magori yahamishwe wamehamia Somalia au wamesilimu na kutubu kwa waliyo yafanya? Ccm bado ipo hivyo kama walihamisha magori lazima wataendelea na mchezo wao
We mwenyewe unajua kuwa alishinda hata uchaguzi uliopita Jecha akahamisha goal, hata 2005 ilikuwa same, Wazenj wanampeda Seif na bado atagombea

In God we Trust
 
Nimekuelewa, sasa unataka kutwambia kuwa wale walio agiza hayo magori yahamishwe wamehamia Somalia au wamesilimu na kutubu kwa waliyo yafanya? Ccm bado ipo hivyo kama walihamisha magori lazima wataendelea na mchezo wao

In God we Trust
Tusubir tuone lakini walau uhakika wa 80% kuwa seif atapiwa kura zinampa guts za kusema aliyosema.
Ila Zitto ahspakaziwa mengi jamani, alishapakaziwa kuwa alianzisha ACT akiwa anamwakilisha Lowassa ila baadae tuliona Lowassa alikoenda.
Siku Mbowe alipoenda Mwanza kwenye sherehe za Uhuru ingelikwa Zitto ndiye kaenda sijui mngesemaje, lakini Mbowe alisifiwa sana.
Sasa leo kibao kimegeuka Mbowe hajaenda Ikulu wengine wameenda basi hapo ndipo walioenda wameonekana wabaya.
Siasa za Tanzania bwana
 
Ebu tupatie vigezo vya Maalim Seif kushinda Zanzibar, ndiyo tutaamini haya maneno yako

In God we Trust
Mmawia;
Huna haja ya kuambiwa "Ona" ndo uamini kuwa huu ndo ukweli. Kule Zenj, hakuna yeyote awezaye kusimama hata na bebdera tu ya kijani aishinde. Ni mmoja tu naye ni Maalim. Hivyo, japo hatapewa uongozi basi ndo atakuwa mshirika kule. na hicho ndo alimaanisha Zitto kuwa tutakuwa washirika kwenye serekali mojapo.
Swali ni kuwa, We mlete hoja, uliona nini kwenye tweet ya Zitto hata kusema; Mpenda cheo huyu wala sio kupigania wananchi?? Hivi; inamaana kuwa; Zitto akigombea uongozi kwako ni kwamba anapenda madaraka?? Atapiganiaje wananchi asipoongoza?
 
Hakuna aliye walaumu walio kwenda ikulu maana hiyo ndiyo ilikuwa kilio cha upinzani.

Watu walimsifia mh Mbowe kwa kuwa na ujasili wa kumuomba mh rais muafaka ambao kimsingi hilo jambo limeanza kuonekana leo.

Tunacho mlaumu ZZK ni hiyo tweet yake ambayo kwa mpinzani wa kweli na mtetezi wa wananchi haileti maana kabisa. Anaonekana yupo pale kimaslahi zaidi kuliko kuwatetea wananchi.
Tusubir tuone lakini walau uhakika wa 80% kuwa seif atapiwa kura zinampa guts za kusema aliyosema.
Ila Zitto ahspakaziwa mengi jamani, alishapakaziwa kuwa alianzisha ACT akiwa anamwakilisha Lowassa ila baadae tuliona Lowassa alikoenda.
Siku Mbowe alipoenda Mwanza kwenye sherehe za Uhuru ingelikwa Zitto ndiye kaenda sijui mngesemaje, lakini Mbowe alisifiwa sana.
Sasa leo kibao kimegeuka Mbowe hajaenda Ikulu wengine wameenda basi hapo ndipo walioenda wameonekana wabaya.
Siasa za Tanzania bwana

In God we Trust
 
Hakuna aliye walaumu walio kwenda ikulu maana hiyo ndiyo ilikuwa kilio cha upinzani.

Watu walimsifia mh Mbowe kwa kuwa na ujasili wa kumuomba mh rais muafaka ambao kimsingi hilo jambo limeanza kuonekana leo.

Tunacho mlaumu ZZK ni hiyo tweet yake ambayo kwa mpinzani wa kweli na mtetezi wa wananchi haileti maana kabisa. Anaonekana yupo pale kimaslahi zaidi kuliko kuwatetea wananchi.

In God we Trust
Kwani Chadema walipomchukua Lowassa ilikuwa kwa maslahi ya wananchi au walimchukua ili wapate kushinda uchaguzi washike madaraka?
By the way lengo la chama chochote cha upinzani ni kushika madaraka
 
Malengo makuu ya chama cha siasa ni kushika atamu,Shida iko wapi hapo kwenye andiko la zito ?,minaona hapo kalenga zaidi zanzibar.

moja kati ya mambo yataifanya ccm ikae zaidi madarakani ni upinzani kuwa wapinzani wao ndani ya vyama na nje ya vyama,katibu amuamini mwenyekiti wake,chama A kinakituhumu chama B,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Chadema walipomchukua Lowassa ilikuwa kwa maslahi ya wananchi au walimchukua ili wapate kushinda uchaguzi washike madaraka?
By the way lengo la chama chochote cha upinzani ni kushika madaraka
Correct √√√√√
 
Chadema mbona Zitto anawakondesha sana?
Wanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.

Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.

Tuwe makini sana na wana siasa kama hawa. View attachment 1375687

In God we Trust
 
Back
Top Bottom