Zitto Kabwe ni Mpinzani au mpenda madaraka?

ccm chaguzi hizi watapata tabu sana.maana mastermind wao nguli wote wamepigwa chini.hawa wasasa vichwa maji yaani kamaukiangalia chaguzi za marudio na za serikali za mitaa utaona utumbilli wao.ccm inakuja sambalatika kwenye chaguzi zao za chama nani apite na nani asipite.lazima mtalisikia hili neno "SISI WAZAWA NYINYI WAKUJA" hapo ndio balaa litaanza.
 
Tunapokea kila taarifa halafu tutachuja
 
Na minyukano ndio itaanzia hapo, wameshaanza kuwaambia wale wote waliotoka upande wa pili akina waitara watafute kazi nyingine za kufanya, ile mizee yenye chama imesema imechoshwa na uzurumati wa mwenyekiti wa taifa
 
Hapana mkuu Zitto sio mjinga vile,labda kama kuna advantage ya uhakika kwake.
Yeye yupo busy na kesi yake ya kisiasa huko Kisutu
 
Na minyukano ndio itaanzia hapo, wameshaanza kuwaambia wale wote waliotoka upande wa pili akina waitara watafute kazi nyingine za kufanya, ile mizee yenye chama imesema imechoshwa na uzurumati wa mwenyekiti wa taifa
Na hao wakuja hawata kubali,maana wameletwa na m/kiti.hii movie itakuwa tamu sana.ndio maana yeye mwenyewe kajisafishia njia mapema hataki pulukushani za mgombea mwenza isije kitumbua kikaingia mchanga bure.
 
Yote yanawezekana.
 
Kwa hiyo Zitto asipoandika pesa hatupati. Huu ujinga kawaambie Lumumba wenzako
 
jd41,
Hata hao CHADEMA wanaonekana kuwa na bei pia, kumbuka Mamvi aliitwa fisadi kwa miaka nane halafu wakataka kumsafisha ndani ya miezi mitatu kabla ya uchaguzi.
 
Moja ya mambo ambayo ya Zitto alishikana na wakawa na urafiki na Zitto ni swala kupewa PAC na kupewa mshahara kila mwezi tofauti na mshahara wa kibunge alipoingia Magufuli akakaata mkataba ule akaanza kumkosoa sasa chama chake kimeitwa ikulu kaanza kusema atakuwa kwenye serikali ya mseto.

Je ataendelea kumponda Magufuli kuelekea uchaguzi 2020 au kashapewa chake ataanza kuwaponda chadema?

tuliposema ni mchumia tumbo tulikuwa tunakosea? tuliposema ni msaliti wa mageuzi miaka ile ya 2015 tulikuwa tunakosea?

Zitto ajawai kuaminika mbele ya siasa za mageuzi ya kweli kama anaweza kusimamia upinzani

je tayari kafika bei? na zile zilikuwa kelele za njaa?
 
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri
In God we Trust
 
Zitto ni mpenda madaraka.
Nakumbuka ameanza kucharukia serikali, baada ya kukosa uwazi wa nishati sijui na madini na vinini huko.
Alivyoona akina Anna na yule katibu mkuu wa wizara ya maji wamepewa shavu, akajua na yeye angepata huo uwaziri kwa kuwa nafasi ilikuwa wazi muda mrefu. Lahaaaaaaaaaaula, alivyoukosa ndio akacharuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…