Achana nao hao.Natafakari sana safari ya upinzani tangu 1995 ilivyodhoofishwa na mapandikizi. Hivi karibuni vyama vya ACT na CHADEMA ndo vimejinasibu na kuonesha taswira ya upinzani halisi.
Lakini baada ya CCM kutangaza wagombea wake, viongozi wakuu Zitto na mgombea urais Membe wameonekana kuguswa kwa sababu ya kukatwa kwa baadhi ya makada. Wakati Zitto akimlilia fisadi namba moja mzee wa visenti, Membe ametoa pongezi kwa waliopitishwa na akatoa pole kwa waliokatwa.
Tuzidi kutafakari kama kweli ACT ni chama cha upinzani
Kwani wale wabunge kibao wa Chadema mliokuwa mkiwaamini wamewafikisha wapi leo hii?!Achana nao hao.
We si umesikia Maalim Seif anaumwa???? Tena kipindi hiki!!!!
We unadhani ni kazi ya nani hiyo kama sio Zitto na Membe.
Zitto lazima atakuwa Afisa Kipenyo tu. Dhamira yangu siku zote imekataa kumuamini Zitto
Namshauri Zitto awe makini Sana ! Ajikite Na Wagombea wa Chama chake . Akiache Chama cha Mapinduzi Na Mipango yake .Natafakari sana safari ya upinzani tangu 1995 ilivyodhoofishwa na mapandikizi. Hivi karibuni vyama vya ACT na CHADEMA ndo vimejinasibu na kuonesha taswira ya upinzani halisi.
Lakini baada ya CCM kutangaza wagombea wake, viongozi wakuu Zitto na mgombea urais Membe wameonekana kuguswa kwa sababu ya kukatwa kwa baadhi ya makada. Wakati Zitto akimlilia fisadi namba moja mzee wa visenti, Membe ametoa pongezi kwa waliopitishwa na akatoa pole kwa waliokatwa.
Tuzidi kutafakari kama kweli ACT ni chama cha upinzani
Hapo wananchi ndo muamke, wapinzani ni matapeliNatafakari sana safari ya upinzani tangu 1995 ilivyodhoofishwa na mapandikizi. Hivi karibuni vyama vya ACT na CHADEMA ndo vimejinasibu na kuonesha taswira ya upinzani halisi.
Lakini baada ya CCM kutangaza wagombea wake, viongozi wakuu Zitto na mgombea urais Membe wameonekana kuguswa kwa sababu ya kukatwa kwa baadhi ya makada. Wakati Zitto akimlilia fisadi namba moja mzee wa visenti, Membe ametoa pongezi kwa waliopitishwa na akatoa pole kwa waliokatwa.
Tuzidi kutafakari kama kweli ACT ni chama cha upinzani
Mtu mwenye akili kubwa hawezi kuwa mwizi..(Nyerere)Mtemi Andrew Chenge kalisaidia sana hili Taifa hasa upande wa Sheria pamoja na udhaifu wa hapa na pale
Andrewa ndio alikuwa Engine ya Sheria kwny mambo yote ya Utawala wa Mzee Mkapa
Hizi TRA, TANROAD, EWURA, HESLB, PCCB, SUMATRA, NHIF n.k ni kazi za Mzee Chenge
Tunawezaje kusifia mazuri ya Mzee Mkapa kwny kuimarisha Institutionalization ya Nchi bila ya kumtaja Mwamba huyu?
Kwa upande wa Ofisi ya AG mpaka leo pengo lake halizibi
Andrew ni Akili kubwa sana sana
Kasaidia kuleta sheria kandamizi au siyo!Mtemi Andrew Chenge kalisaidia sana hili Taifa hasa upande wa Sheria pamoja na udhaifu wa hapa na pale
Andrewa ndio alikuwa Engine ya Sheria kwny mambo yote ya Utawala wa Mzee Mkapa
Hizi TRA, TANROAD, EWURA, HESLB, PCCB, SUMATRA, NHIF n.k ni kazi za Mzee Chenge
Tunawezaje kusifia mazuri ya Mzee Mkapa kwny kuimarisha Institutionalization ya Nchi bila ya kumtaja Mwamba huyu?
Kwa upande wa Ofisi ya AG mpaka leo pengo lake halizibi
Andrew ni Akili kubwa sana sana
Mtu mwenye akili kubwa hawezi kuwa mwizi..(Nyerere)
Sio kipo kimkakati kuunga juhudiChama kimepoooza kile....!!!!
Kwani tukikiita ni cha wazee tutakuwa tumevunja katiba?
Ongea yao! Yote ni ya kizee hata uwe kijana vipi utalazimika uongee kizee, sjui vipi?