Zitto Kabwe: Nimesikitika Bunge la 12 kuwakosa watu muhimu kama Mzee Chenge

Zitto Kabwe: Nimesikitika Bunge la 12 kuwakosa watu muhimu kama Mzee Chenge

Huyu mtu wa hovyo kweli yaani yeye kuwepo bungeni anafikiri ndiyo mwenye akili kuliko wore? Mwambieni shule alizosoma Hakuna peke yake wala siyo yeye alikuwa akiwaongoza kila darasa pia akumbuka hata yeye akifa Tanzania itaendelea kuimarika asijione bora sana kuliko wengine. Namkumbusha Tz imeanza kabla yeye kuwa mwanasiasa.
Ndio aina ya upinzani tulio nao Tanzania
 
Tunaanza kwenye sheria. Huyo Zitto anacheo gani ACT wazalendo mpaka aandike barua kwa niaba ya Act wazalendo?
 
Hatimaye zitto kabwe fisadi aonyesha rangi yake halisi ya kifisadi kuungana na fisadi

chenge alitiwa pingU na SFO ya uingereza kesi ya rada akabebwa na pingu

ZITTO mjinga sana Chenge alikuwa hawezi saini mkataba wa mwekezaji yeyote hadi apewe bahasha cash yenye dola laki mbili alipokuwa mwanasheria mkuu wa serikali

DHL MASHAHIDI suti za Chenge zilikuwa zinaenda kufuliwa Laundry ufaransa na alikuwa na chumba cha kulala mwaka mzima Kilimanjaro kempski hotel cha kulala na malaya wake mwaka mzima KEMPSIKI MASHAHIDI
 
Back
Top Bottom