Lakini pia ina sikitisha kila kosa sasa hivi ni kutakatisha pesa na uhujumu uchumi. Ili tuu usipata dhamana.. Hii ni aibu kwenye tasnia ya sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Awasaidie kwa njia yake ya miti shamba hao waliokamatwa Basi. Mwenye ndugu yake anapata machungu gani akisikia maneno ya Zitto ZuberiHivi ni kweli Serikali ya Awamu hii inamuogopa Mh Zitto Zubberi Kabwe !!?.
Kuna jambo gani nyuma ya Pazia !?
Hahaha. Yaani wewe unamsifia zitto wakati zito ni TISS na CCM pia. Kama huamini ongea wewe au mtu mwingine yeyote kauli kama hiyoMh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.
Mungu atatenda at some point I'm sure!
View attachment 1302735
Kwa kauli hii sasa nimeamini zitto ndio wale waleHivi ni kweli Serikali ya Awamu hii inamuogopa Mh Zitto Zubberi Kabwe !!?.
Kuna jambo gani nyuma ya Pazia !?
Mmhhhhapo nimeona majina makubwa 2..Maria Sarungi na Fatuma Karume na Zitto
ikiwa na maana Zitto yuko kwenye safe zone...hakamatiki
lakini lolote linaweza kutokea kwake...inatafutwa link... au linkage
asishangae...awape posho mzuri waganga wake
Sent using Jamii Forums mobile app
"----'you don,t worth the battle anymore.'"They GOT you already bro, they found your weekness GET prepared, walitafuta muda mrefu namna ya ku deal na wewe na Sasa watawaumiza watu wa karibu yako na unaumia na utaumia kwakua huo ndio udhaifu wako.
Ambacho hawajui tu Ni kwamba you don't worth the battle anymore.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mfipaThey GOT you already bro, they found your weekness GET prepared, walitafuta muda mrefu namna ya ku deal na wewe na Sasa watawaumiza watu wa karibu yako na unaumia na utaumia kwakua huo ndio udhaifu wako.
Ambacho hawajui tu Ni kwamba you don't worth the battle anymore.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah acheni woga maneno ya mh zitoMh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.
Mungu atatenda at some point I'm sure!
View attachment 1302735
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππMobutu Magufuli Seseseko kuku wa Zabanga wa Tanganyika
Kaishiwa anatafuta kiki,hatutoi kiki kama kwa Roma na nyimbo yake mpya.Mh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.
Mungu atatenda at some point I'm sure!
View attachment 1302735