Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Akina Chenge na Tibaijuka wametakatisha 1.6 bil wanakula tu kiyoyozi cha bungeni bila shaka. Kuna mshkaji naye akitakatisha nyumba za serikali lakini anakula upepo mwanana huku akiwa amekabidhiwa lori akiliendesha na hataki kusikia kelele za abiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini pia ina sikitisha kila kosa sasa hivi ni kutakatisha pesa na uhujumu uchumi. Ili tuu usipata dhamana.. Hii ni aibu kwenye tasnia ya sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app