Zitto Kabwe: Njooni mnikamate mimi mnihoji, mnaogopa nini? Wacheni kuwaonea Watanzania wengine kwa ajili yangu

Zitto Kabwe: Njooni mnikamate mimi mnihoji, mnaogopa nini? Wacheni kuwaonea Watanzania wengine kwa ajili yangu

Akina Chenge na Tibaijuka wametakatisha 1.6 bil wanakula tu kiyoyozi cha bungeni bila shaka. Kuna mshkaji naye akitakatisha nyumba za serikali lakini anakula upepo mwanana huku akiwa amekabidhiwa lori akiliendesha na hataki kusikia kelele za abiria
Lakini pia ina sikitisha kila kosa sasa hivi ni kutakatisha pesa na uhujumu uchumi. Ili tuu usipata dhamana.. Hii ni aibu kwenye tasnia ya sheria

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
They GOT you already bro, they found your weekness GET prepared, walitafuta muda mrefu namna ya ku deal na wewe na Sasa watawaumiza watu wa karibu yako na unaumia na utaumia kwakua huo ndio udhaifu wako.

Ambacho hawajui tu Ni kwamba you don't worth the battle anymore.

Sent using Jamii Forums mobile app
"----'you don,t worth the battle anymore.'"

They probably "found (his) weakness" rather than 'weekness'.

Unapokuwa na matatizo ya lugha kiasi hiki, kwa nini uitumie hiyo lugha na huku ipo tunayoielewa sote vizuri tu?

Kama hawajui kwamba Kabwe is 'not worth the battle,' kwa nini usiwadokezee wewe unayejua kwa maana inaelekea unaifahamu vyema mienendo ya Mh Zitto Kabwe. Ya nini wewe unayejua uendelee kunyamamizia huku watu wa pembeni ya Zitto, wasiokuwa na makosa waendelee kuumizwa? Wewe haya yanayoendelea yanakufurahisha kwa vipi!
 
They GOT you already bro, they found your weekness GET prepared, walitafuta muda mrefu namna ya ku deal na wewe na Sasa watawaumiza watu wa karibu yako na unaumia na utaumia kwakua huo ndio udhaifu wako.

Ambacho hawajui tu Ni kwamba you don't worth the battle anymore.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mfipa
 
Ujue Serikali ina mikono mirefu. Inapomkamata mtu lazima ijiridhishe kweli kweli. Acheni kabisa kuleta dharau kwa Serikali. Kila Mamlaka imewekwa na Mungu.
 
Mobutu Magufuli Seseseko kuku wa Zabanga wa Tanganyika
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👎👍👍👍👍👍👎👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👌
 
Back
Top Bottom