Zitto Kabwe: Njooni mnikamate mimi mnihoji, mnaogopa nini? Wacheni kuwaonea Watanzania wengine kwa ajili yangu

Zitto Kabwe: Njooni mnikamate mimi mnihoji, mnaogopa nini? Wacheni kuwaonea Watanzania wengine kwa ajili yangu

Kifo cha mende ,lipumba ezi zake za akili akitumia nguvu ya asili yakufikili .....anakuambia kifo cha mende ,huwezi achia nguruwe shamba LA mihogo....toka akaaza kutumia akili za vyeti tunamsahau kilasiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZITTO,
UNATAFUTA KICK YA KUANZIA MWAKA WEWE!

NA HILO LINAJULIKANA,WAKATI WAKO UKIWADIA WATAKUKAMATA TU WEWE ENDELEA NA HUJUMA ZAKO TU,

HUNA UJANJA WOWOTE ZAIDI YA KUFANIKIWA KUFICHA URAIA WAKO.

SUALA LA VIELELEZO NA USHAHIDI TU.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameona tito atajua kua yeye ndio kawachoma ameona ajitose ... the cover has blown... you’re banned
 
DILI MLIPANGA WOTE UMEWACHOMA KWA NAMNA YEYOTE ILE WANGEJUA NI WEWE UMEWAUZA ... SASA UNAAMUA KUJIFANYA TENA KUJIFANYA MWENYEWE... Cover has been blown... you’re f#ckng banned
 
Kila mtu anamuogopa ZZK, maana zindiko lake si mchezo.
Just waangalie woote waliotumika kumsubortage kisiasa, their days are numbered na ndo maana wanazunguuuka maana wanajua wakimgusa tu zindiko lake litawarudia.
 
Wewe huuoni huo upumbavu wa kuteka watoto wadogo kuwauliza habari za Zitto, Sarungi na Karume?
Hawa watu ni wajinga au anaye watuma ndio mjinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako unaweza kuona ni ujinga lakini hii kitu itawaumiza sana hao watatu. 1. Watu wa maana wataanza kukaa mbali nao 2. Watu wataanza kuogopa kuwapa info.since now it is clear the system inawatafuta. 3. Maisha ya kujilinda kila muda toka kwa maadui wako (system) siyo marahisi kama wanavyotaka mfikiri yana madhara kiafya na kisakolojia. Hata hivyo kama wao ni wapambanaji wa ukweli haya majaribu yatawakomaza. Japo malalamiko yao ya karibuni yanatia shaka.
 
Back
Top Bottom