barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ajipeleke.Mh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.
Mungu atatenda at some point I'm sure!
View attachment 1302735
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajipeleke.Mh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.
Mungu atatenda at some point I'm sure!
View attachment 1302735
Unazani zito sawa naweweHivi ni kweli Serikali ya Awamu hii inamuogopa Mh Zitto Zubberi Kabwe !!?.
Kuna jambo gani nyuma ya Pazia !?
Ni zaidi ya Mobutu.Mobutu Magufuli Seseseko kuku wa Zabanga wa Tanganyika
Mobutu Magufuli Seseseko Kuku wa Zobanga wa Tanganyika.Zitto wewe tulia. Kuna siku utaingia kwenye King yao.
Mwenzao uyo
Magenge yako well financed kutoka MagogoniYale yale ya mwandishi Eric Kabendera. Tukiamua kuchunguzana kwa kumiliki hayo magenge ya uhalifu, sidhani kama kuna mwanaccm na polisi atakayepona!
Mwenzao uyo
Wanamlia timing tu,wakimkamata usije lia lia kutaka huruma wa watu na mataifa ya njeHivi ni kweli Serikali ya Awamu hii inamuogopa Mh Zitto Zubberi Kabwe !!?.
Kuna jambo gani nyuma ya Pazia !?
Zitto wewe tulia. Kuna siku utaingia kwenye King yao.
Kwako unaweza kuona ni ujinga lakini hii kitu itawaumiza sana hao watatu. 1. Watu wa maana wataanza kukaa mbali nao 2. Watu wataanza kuogopa kuwapa info.since now it is clear the system inawatafuta. 3. Maisha ya kujilinda kila muda toka kwa maadui wako (system) siyo marahisi kama wanavyotaka mfikiri yana madhara kiafya na kisakolojia. Hata hivyo kama wao ni wapambanaji wa ukweli haya majaribu yatawakomaza. Japo malalamiko yao ya karibuni yanatia shaka.Wewe huuoni huo upumbavu wa kuteka watoto wadogo kuwauliza habari za Zitto, Sarungi na Karume?
Hawa watu ni wajinga au anaye watuma ndio mjinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Raia wananyanyasa Raia wenzao na kazi ya Polisi ni kuwalinda Raia wanaonyanyaswa na hao Raia na kuwaweka ndani.Huwa najiuliza,Hivi kazi yao ni kulinda RAIA na Mali zao au kuwanyanyasa RAIA?
Sent using Jamii Forums mobile app