Zitto Kabwe: Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, apewe dawa, anaropoka tu!

Zitto Kabwe: Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, apewe dawa, anaropoka tu!

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, anapaswa apewe dawa, amekuwa mtu anayeongea mambo hovyo hovyo, ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari ni mtu ambaye anaropoka tu!, hana facts wala ushahidi wowote. Kwahiyo mimi naona ni mtu ambaye amejawa na chuki na anatafuta kuonekana yupo

 
Ogopa mtu anayetoka mkoa ulikuwa na nchi za mbili za kuchunjana na udini na bahati mwiguru alitaja tuhamie kule japo na yeye mwiguru angekuwa ke watu wangejipigia sana angeishia kuwa wakala huduma za kifeza kulipa kodi za TRA.
IMG_2342.jpeg
 
Mr. Kiroboto nyie ni ma project ya li CCM na mtandao wake. Tunakujua jinsi ulivyojiweka karibu na mfumo na ukawa unatoa Siri kutoka huku kwenda kule wakati Sekandi in command kwenye Ofisi ya kivuli wakati huo alikuwa rafiki yako wa karibu sana

Tunafahamu uoivyonyew Kambi enzi zile za Mkapa. Kwa kifupi cv yako imejaa makovu. Polepole ni namba.nyiingine kabisa
 
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, anapaswa apewe dawa, amekuwa mtu anayeongea mambo hovyo hovyo, ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari ni mtu ambaye anaropoka tu!, hana facts wala ushahidi wowote. Kwahiyo mimi naona ni mtu ambaye amejawa na chuki na anatafuta kuonekana yupo

View attachment 3455478
Zitto huna nyimboo, paka shume, tuliza matako yako
 
Naona chama cha majambazi wamesukuma Kete ya zitto... tuone mwamba Polepole atajibuje
 
Back
Top Bottom